Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Mkuu, kama hakuna maslahi huko mbona wanagombania?Kumbe kuna biashara kwenye ubunge na u RC?
Nilidhani ni utumishi wa umma!
Ubunge una maslahi makubwa zaidi. 18 m kea mwezi si haba. Mkuu wa mkoa atazitoa wapi hizo? Pia ubunge kupata ni rahisi kuupata hasa ukiwa muimba mapambio ya sifa kwa maslahi ya rais na chama anachoongoza.Hamjambo hapo Arusha?
JeNi kwa sababu ipi,
Kisha Ili iweje?
Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?
Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?
Mwenye majibu aje kunisaidiaš
RC tofauti na ubunge haina mkataba,baada ya uteuzi unaweza kuondolewa baada ya wkiki moja tuUbunge una maslahi makubwa zaidi. 18 m kea mwezi si haba. Mkuu wa mkoa atazitoa wapi hizo? Pia ubunge kupata ni rahisi kuupata hasa ukiwa muimba mapambio ya sifa kwa maslahi ya rais na chama anachoongoza.
Mkuu wa mkoa ni mteule wa rais ila maslahi kiuchumi ni kidogo licha ya uwezekano wa kuwa na marupurupu makubwa pia.
Decision zote za nchi zinafanywa Bungeni, Ukitoa Mhimili wa Executive the rest top decisions make wa wizara wapo BungeniYaani Rc mwenye mkoa mazima azidiwe na mbunge deals?
Ni tamaa nadhani, hamna kingine!
Kujijenga kisiasa kwa Jimbo na mkoa wapi pakubwa?Ubunge Una wigo mpana wa kifanikiwa bila stress tofauti na U RC pia ukitaka ujijenge kisiasa ukiwa RC ni ngumu tofauti na Mbunge
Na Ulikande pia.Ukiwa Mbunge unaweza kufanya Lobying ukaikwaa Uliwali
Ubunge pia SI ajira ya kudumu,Ubunge ajira ya kudumu huku ukuu wa mkoa inategemea Rais kaamka je ?
Kuna biashara kubwa sana. Unakumbuka Makonda alitaka kupitisha konyena bandarini bila kulipa ushuru? Magu aliposikia akamwambia alipe. Hakuna namnaKumbe kuna biashara kwenye ubunge na u RC?
Nilidhani ni utumishi wa umma!
basically ma-RC, DC ni CHAWA wa anayewateua, wanalaazimika kupita na swaga za aliyewateua, hata kama wanaona si sahihi, hii kazi ni ngumu sana, kila siku lazima usikilizie uteuzi na utenguajiUbunge Una wigo mpana wa kifanikiwa bila stress tofauti na U RC pia ukitaka ujijenge kisiasa ukiwa RC ni ngumu tofauti na Mbunge
Yaani kilichokuuma hapo hasa hasa ni nini?Hamjambo hapo Arusha?
JeNi kwa sababu ipi,
Kisha Ili iweje?
Na aliyemteua RC atajisikiaje akipata habari kuwa, RC hafurahii Nafasi aliyopewa na Rais, anaitamani Nafasi ya kupewa na wananchi( ubunge)?
Kila siku unatoka na kutwambia WEWE ni mwakilishi wa Rais, una mamlaka juu ya mkoa nzima, unaweza hata kumweka ndani mbunge, nyuma ya pazia unatengeneza mazingira uje ugombee ubunge huo huo Ili uje kuwa chini ya RC?
Mwenye majibu aje kunisaidiaš