Anaetoa mahali ni nani?
Wao wanavyotaka tywanununue kutoka kwa wazazi wao unategemea nini hapo..Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ?
Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
Kwa hilo swali lako,na mtu mwenye kutumia akili,ina maana Tanzania hatuna kabila hata moja.Tunaishi kihunihuni tu.Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ?
Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
Siyo mahaRi ni Mahari.mahaRi sio mahaLi
Sayansi ya Kienyeji au?Kwa mujibu wa Sayansi
Kama umezaliwa na baba Msukuma na mama Msukuma utakuwa Msukuma, ukizaliwa na Baba Msukuma na Mama Mzaramo kabila lako liwe Mzaramo-MsukumaKwa hilo swali lako,na mtu mwenye kutumia akili,ina maana Tanzania hatuna kabila hata moja.Tunaishi kihunihuni tu.
Huo mchanganyiko au mchanyato umeua makabila.Tuishi kisela tu.Kama umezaliwa na baba Msukuma na mama Msukuma utakuwa Msukuma, ukizaliwa na Baba Msukuma na Mama Mzaramo kabila lako liwe Mzaramo-Msukuma
Basi na kwenye ubini yatumike majina ya baba na mama kwa pamoja.Kama umezaliwa na baba Msukuma na mama Msukuma utakuwa Msukuma, ukizaliwa na Baba Msukuma na Mama Mzaramo kabila lako liwe Mzaramo-Msukuma
Mkuu umeongea nini??sijaelewa kabisa aisee.!Hayo ni maswala ya mila na desturi na huwa yanasumbua sana ukianza kuyapatia ufumbuzi kisayansi!, ni kama maswala ya dini uanze kuyafanyia tathmini kisayansi.
Utaibua mjadala ambao utakuwa na hisia na mambo mengine!.
Kiujumla haya mambo ya mila na desturi yapo tu kama walivyokubaliana waliyoyatunga na walioamua kuyafuata, hii enzi ya sayansi na teknolojia imekuwa ni chachu yakujua mambo mengi kiundani na kwa mwenye akili yenye upeo anaelewa nini afanye.
Ila kwa wale wakamalia mambo ya kale wamekuwa wakiona kama ni ukengemfu na ukiukwaji wa maadil ndio kuna baadhi ya vitu binadamu tumekuwa tukienda kinyume na maadili lakini kuna vitu vipya ni bora zaidi kuliko vya zamani!.. simply dunia yasasa haiongei sana ila inakutaka uamue wewe na ujue kuamua kipi ni sahihi chakufuata akili kumkichwa.
Lala ukueMkuu umeongea nini??sijaelewa kabisa aisee.!
Au wewe umeelewa ulichoandika??..