Kwa nini mtoto anakuwa wa kabila la mzazi mmoja tu ?

Kwa nini mtoto anakuwa wa kabila la mzazi mmoja tu ?

Weka source. Hii fact sayansi zinapingana. Mitochondria DNA inachukua % kidogo sana ya human body DNA.
% kidogo kiasi gani ?

Unajua ni mabadiliko kiasi gani ya DNA yanatosha kukubadilisha kabisa kuwa tofauti na ulivyo sasa?
 
Kuna siku hum jf mada zitakuja ,kwa Nini wanaume hawaolewi na kulipiwa mahali .

Tuweni serious kama wanaume na hoja zingine
Acha kufikiria Kiswahili, think globally.
Wazungu wala hawana hizo lugha za kuoa na kuolewa, wanaoana tu.
 
Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ?

Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
Hivi hujui kama mwanamke akishaolewa anatumia ubini wa mume wake, bado simple logic kama hiyo huelewi maana ya mwanamume ni nini?
 
Kwa nini ?
Huyo mama yake anatumia jina la mume wake hapo unashangaa nini
Maria Nyerere
Siti Mwinyi
Anna Mkapa
Salma Kikwete
Janeth Magufuli

Ndoa za mwendokasi ndio wanawake wanatumia ubini wa kwao ndio sababu hata ndoa haziwezi kudumu mwanamke hajui bond aliyonayo kwa mumewe.
 
Nimeuliza kuhusu kabila (na hili ni swali la kisayansi zaidi), jina unaweza kutumia lolote, wapo wanawake wengi tu hawatumii majina ya waume zao.
 
Naomba kujua jinsia ya mtoa mada kabla ya kutoa maoni yangu
 
Hivi hujui kama mwanamke akishaolewa anatumia ubini wa mume wake, bado simple logic kama hiyo huelewi maana ya mwanamume ni nini?
Ndoa wala haina uhusiano na kubadilisha majina, unaweza kuolewa na bado ukabaki na jina lako.
 
Haileti biological difference kivile kwenye overall DNA ya mtoto.

Hata hivyo ukiacha sababu za kibailojia, dunia lazima iwe na mtawala, na dunia imeamua Me awe mtawala, including jina na ukoo wa mtoto.
Sidhani kama kuna uamuzi kama huo uliwahi kufanywa kwa Dunia nzima,

Mbona Tanzania mtawala ni mwanamke?!
 
Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ?

Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
Wamwera wanachukua kwa mama, wao ni matrilineal
 
Wazanzibari hawana habari ya mke kutumia jina la mume. Hao akina Siti Mwinyi, Salma Salmini ni baada ya waume zao kuwa maraisi tu.
 
Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ?

Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
Wakati wenzako wanasoma MATRILINEAL, PATRILINEAL na BILINEAL ulikuwa wapi ndugu.
 
Mke mwenyewe anachukua jina lako la ukoo
Siongelei jina,
Nauliza kwa nini wewe uliyezaliwa na Baba Msukuma na mama Mzaramo unajiita Msukuma badala ya Mzaramo au Mzaramo-Msukuma ??
 
Back
Top Bottom