Mzaramo- Msukuma akaja kuzaa mtoto na Mchaga - Mgoni, huyo mtoto wao anakuwa kabila gani?Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ?
Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
We mbwa bila kutaja kinyeo nafsi yako haisikii raha kabisa.I don't care about tribes.
Nikiwa msukuma au nikiwa mzaramo inanisaidia nini?
Mwili ni ule ule, kinyeo ni kile kile, na bolo ni lile lile.
Nonsense indeed
Cc: Tlaatlaah
Kimsingu mtoto niwa mama..mana mwanamke hasingiziwi mimba.Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ?
Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
jamaa analeta stori za vijiweni hata genetics ajasoma sijui ana weka hitimisho lakeMama ndiye anachangia kiasi kikubwa cha DNA?
Hiya ni kwa mujibu wa imani, hisia au busara zako binafs?
Umeelewa swali langu?Kwani chotara wa kizungu na black akiza na Mwarabu huyo mtoto anakuwa race gani ?
makabila makubwa ni yapiInategemea na ukubwa wa kabila, ata kama mama kabila lake kubwa lazma mtoto atachukua hilo kabila
Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
Mbwa mama ako mzazi.We mbwa bila kutaja kinyeo nafsi yako haisikii raha kabisa.
Unadhani Kwa nini mtoto aitwi amina ngosha mndengeleko..?Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ?
Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
Anaweza kuitwa, sidhani kama sheria inakataza.Unadhani Kwa nini mtoto aitwi amina ngosha mndengeleko..?
KWELI watoto wachukue makabila ya mama zao sababu unakuta umeambikiwa mtoto unasema ni msukuma kumbe biological father ni mzaramo.Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ?
Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??