ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
She's a rubberstamp, hamna kitu pale! Hata hivyo ilikuwa bahati mbaya.Sidhani kama kuna uamuzi kama huo uliwahi kufanywa kwa Dunia nzima,
Mbona Tanzania mtawala ni mwanamke?!
She's a rubberstamp, hamna kitu pale! Hata hivyo ilikuwa bahati mbaya.Sidhani kama kuna uamuzi kama huo uliwahi kufanywa kwa Dunia nzima,
Mbona Tanzania mtawala ni mwanamke?!
Hujawahi kuwa na akili, naongea na wewe mama yangu kafikaje?Mbwa mama ako mzazi.
Ulitaka nitaje kundu lako?
Kabila ni watu wanajipangia tu.Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ?
Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
Hapa nimejifunza jambo jipya.Ni utaratibu wa kila jamii, kuna baadhi ya jamii mtoto anachukua kabila na ubin wa mama, na kuna baadhi mtoto anachukua ubin wa wazazi wote yani mama na baba kama latin amerika, na españa
Ni Sayansi,
Mama ndiye anampa mtoto Mitochondrial DNA kwa Mitochindria haihusikinna genes inheritance.
Nilifikiri kabila ni suala la DNA au damu zaidi kumbe ni social construct tu kwa kiasi kikubwa.Kwa Tanzania ipo mifumo miwili kutokana na Kabila.. Matrilineal (Ukoo wa upande wa mama) na Patrilineal (Ukoo wa upande wa baba).
Katika mifumo hii, mtoto anarithi kabila, jina, na mali kulingana na jinsi jamii au kabila hilo lilivyoweka utaratibu wake:
1. Mfumo wa Patrilineal (Ukoo wa Upande wa Baba)
Huu ndio mfumo unaotumika na jamii nyingi zaidi za Kitanzania na Kiafrika. Kabila na Ukoo: Mtoto anarithi kabila na ukoo wa baba yake. Jina: Mtoto anapewa jina la ukoo wa baba au babu mzaa baba. Mali na Uongozi: Haki za urithi wa ardhi, mifugo, au nafasi za kiongozi wa kimila hupita kutoka kwa baba kwenda kwa watoto wake (mara nyingi watoto wa kiume).
- Mifano ya makabila: Wanyakyusa, Wachaga, Wasukuma, Wamasai, Wakurya, na Waha.
Mfumo wa Matrilineal (Ukoo wa Upande wa Mama). Katika mfumo huu, ukoo na mistari ya familia inafuatwa kupitia upande wa mama. Kabila na Ukoo: Mtoto anarithi kabila na ukoo wa mama yake. Hata kama baba ni wa kabila tofauti, mtoto atahesabiwa kuwa wa kabila la mama. Mamlaka ya Kifamilia: Kiongozi mkuu wa familia au mlezi wa watoto mara nyingi huwa sio baba mzazi, bali ni mjomba (kaka wa mama). Jina na mali za mjomba ndizo zinazorithiwa na wapwa zake (watoto wa dada yake). Mali na Ardhi: Urithi wa mashamba au mali za kimila hupita kwenye mstari wa kike au kwenda kwa watoto wa kike ili kulinda mali ibaki ndani ya ukoo wa mama.
Mwisho wa kurithi ni mifumo ya urithi. Ukiamua unaweza ukakana ukawa huna ukoo. Sio lazima. Lakini ukikubaliana na mambo ya ukoo hauwezi ukawa pande mbili kwani ni usaliti. Na dharau dhodi ya mila husika.
- Mifano ya makabila (Ukanda wa Kusini na Mashariki mwa Tanzania): Wamakonde, Wawayao, Wamakua, Waluguru, Wazaramo, na Wakwere. (Ingawa sasa hivi mifumo ya kisasa na ya kidini imebadilisha baadhi ya mila hizi).
Inabidi watu waache kuringa na makabila yao enzi hizi za ndoa za makabila tofauti maana yanakosa uhalisia.Kabila ni watu wanajipangia tu.
Zambia hapo miaka ya 1930s Waingereza walikuta Wazambia wana mgogoro, wanapigania ardhi. Wakawagawa, wakasema nyie nendeni kule, nyie kaeni huku, huyu hapa Chifu mpya, wa kabila jipya.
Wakaanzisha kabila hapohapo.
Na hayo makabila ya kuanzishwa na Waingereza kwa sababu za kutawala hata Tanzania yapo.
Uko sahihi, na una hoja ya msingi sana.Au bora utumike ubini wa mama kwa sababu yeye ana hakika zaidi kuwa ni mtoto wake.
Uko sahihi kabisa.Kimsingu mtoto niwa mama..mana mwanamke hasingiziwi mimba.
😂😂😂😂Mbwa mama ako mzazi.
Ulitaka nitaje kundu lako?
😂😂😂😂Wa kike
Simba sio mfano mzuri na sahihi kwa binadamu na jamii kubwa ya wanyamaKwamba mnashindwa hata nawanyama! Simba wenyewe wanajua mtoto nimali yababa japo mama ndio anawalisha naikitokea simba akapinduliwa madalakani bhas huua watoto ambao hawana DNA nae
Wewe kama ulikuwa na majibu yako mfukoni ulianzisha thread ya nini?Simba sio mfano mzuri na sahihi kwa binadamu na jamii kubwa ya wanyama