Kwa nini mtoto anakuwa wa kabila la mzazi mmoja tu ?

Kwani ukipanda maharage shambani kinachoota ni nini
 
Kwani kuna document yeyote ya serikali unayotakiwa kuandika kabila lako siku hizi?

Suala la wewe ni Msukuma au Mazaramo au Msukuma-Mzaramo linabaki kuwa uamuzi wako katika mazingira hayo. Ukipenda unaweza pia kusema sina kabila. Hakuna sehemu utakwamishwa kwa sababu umesema sina kabila. Kwa hiyo suala la wewe kabila gani siku hizi ni semantics tu.
 
Polisi na Mahotelini bado wanauliza makabila.
 
Nani kasema mama anachangia more DNA kuliko baba? Sayansi ya wapi mkuu?
 


Mwanaume ndo anaeoa au kuolewa,,?
 
Ukiulizwa kabila lako huwa unasema lipi? La baba yako au mama yako ?

Hilo sio swali la kuuliza. Ni nyinyi wenye elements za upinde ndio mnalazimisha kubadilisha ambayo hayabadilishiki.

Kuna uzi wako mmoja unawasifia wanaume wa pwani kwamba wao ni lahini lahini ukilinganisha na wanaume wa bara, na ukasema eti watoto wa kiume huku bara walelewe ki-femininity. Nikasema astaghafilulah.
 
watu wengi hawajui hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…