Kwa nini mtoto anakuwa wa kabila la mzazi mmoja tu ?

Mzaramo- Msukuma akaja kuzaa mtoto na Mchaga - Mgoni, huyo mtoto wao anakuwa kabila gani?
 
Kimsingu mtoto niwa mama..mana mwanamke hasingiziwi mimba.
 
Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??


Hiyo fact yako kwamba "mama kuchangia kiasi kikubwa cha DNA source/chanzo chake ni wapi mkuu?
 
Unadhani Kwa nini mtoto aitwi amina ngosha mndengeleko..?
 
Hiyo fact yako kwamba "mama kuchangia kiasi kikubwa cha DNA source/chanzo chake ni wapi mkuu?
Ni Sayansi,
Mama ndiye anampa mtoto Mitochondrial DNA kwa 100%.
 
KWELI watoto wachukue makabila ya mama zao sababu unakuta umeambikiwa mtoto unasema ni msukuma kumbe biological father ni mzaramo.
 
That's a slight difference, ila chromosomes ziko split equally na actually Me ndio anaderermine mtoto awe Ke au Me kwa maana ya kutoa XY chromosomes.
Kuna Mitochondrial Eve, Hakuna Mitochondrial Adam.
 
Nilijua tu halafu nimetoka kukuliza sehemu kwamba sijaona nyuzi zako 🤣🤣 nadhani hujaona notification Yoda 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…