Haileti biological difference kivile kwenye overall DNA ya mtoto.Kuna Mitochondrial Eve, Hakuna Mitochondrial Adam.
Ni Sayansi,
Mama ndiye anampa mtoto Mitochondrial DNA kwa 100%.
Hivi hujui kama mwanamke akishaolewa anatumia ubini wa mume wake, bado simple logic kama hiyo huelewi maana ya mwanamume ni nini?Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ?
Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
Huyo mama yake anatumia jina la mume wake hapo unashangaa niniKwa nini ?
Nimeuliza kuhusu kabila (na hili ni swali la kisayansi zaidi), jina unaweza kutumia lolote, wapo wanawake wengi tu hawatumii majina ya waume zao.Huyo mama yake anatumia jina la mume wake hapo unashangaa nini
Maria Nyerere
Siti Mwinyi
Anna Mkapa
Salma Kikwete
Janeth Magufuli
Ndoa za mwendokasi ndio wanawake wanatumia ubini wa kwao ndio sababu hata ndoa haziwezi kudumu mwanamke hajui bond aliyonayo kwa mumewe.
Sidhani kama kuna uamuzi kama huo uliwahi kufanywa kwa Dunia nzima,Haileti biological difference kivile kwenye overall DNA ya mtoto.
Hata hivyo ukiacha sababu za kibailojia, dunia lazima iwe na mtawala, na dunia imeamua Me awe mtawala, including jina na ukoo wa mtoto.
Wamwera wanachukua kwa mama, wao ni matrilinealKama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ?
Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??
Wakati wenzako wanasoma MATRILINEAL, PATRILINEAL na BILINEAL ulikuwa wapi ndugu.Kama mtoto amezaliwa kwa wazazi ambao baba ni Msukuma na mama ni Mzaramo kwa nini mtu anakuwa Msukuma badala ya Mzaramo-Msukuma ?
Kama ni kazima kuchukua kabila la upande mmoja kwa nini asichukue kabila la mama kwa sababu mama ndiye anachangia kiasi kikubwa zaidi cha DNA kuliko baba ??