Tena mishangazi nyamiela (kingwendu's voice)Kumbe kuchukua mashangaziii iliazaa kitambo
😁😁😁😁😁Lakini si naskia ni m'bora wa Mitume wote:
Na Umma wake ni umma bora kupita umma wote...! 🤸🤸🤣
Point hapa duniani NI kwamba hata kifo chake kilitokana na waislamu hao hap japo Mimi namkubali Sana Tu. Great S.W.AUkiacha kuwa Biblia haikuwahi kumzunguzia utasema ok. Ni sababu yeye alikuja miaka 600 plus baadaye. Lakini pia hakuwa na umuhimu katika Uyahudi na Ukristo. Yaani Biblia imemzungumzia hata mtu mpumbavu ikamwacha Mohamed.
Nyie Wakristo kwa nini hata heshima hamumpi? Mnakaa kumtuhumu tu shutma nyingi nyingi mara vile mara hivi. Mbona yeye anawataja na vitabu vyenu?nyie mmeamua kumpotezea?
Na hata Quran na mambo yake mmnaipotezea. Mkiambiwa Issa ndo Yesu hamtaki, mkiambiwa Allah ndo Mungu wenu hamtaki na hamumtaki. Ninyi kifupi hamtaki kujihusisha na habari yoyote from Quran na mambo yake.
Mnanikumbusha ule msemo wenu wa NAMKATAA SHETANI NA MAMBO YAKE.
Mohamad kuoa mtoto wa miaka 6 hayo ni mambo binafsi msichukulie personal. Au kumwona yule Mama Mtu Mzima sana Tajiri Bi Khadija.
Ni mambo binafsi. Mambo ya kulala na Mateka wa kike si issues za kukomaa nazo sana. Angalau naye mumpe kaheshima hata kidogo. Ninyi mnamchukulia kama Nabii Tito wa Tz? Si sawa. Muhamad ana wafuasi zaidi ya Billion moja ana watu jamani.
Mtasema na shetani naye anawafuasi wengi? Anyway. Sawa Biblia haimtambui, hatambuliki popote katika Ulimwengu wenu basi sasa mmekuja mfahamu mumheshimu hata kidogo.
Wakati Mohammad anakuja na kuanzisha Uislam, Biblia ilikuwa ishaaandikwa.Ukiacha kuwa Biblia haikuwahi kumzunguzia utasema ok. Ni sababu yeye alikuja miaka 600 plus baadaye. Lakini pia hakuwa na umuhimu katika Uyahudi na Ukristo. Yaani Biblia imemzungumzia hata mtu mpumbavu ikamwacha Mohamed.
Nyie Wakristo kwa nini hata heshima hamumpi? Mnakaa kumtuhumu tu shutma nyingi nyingi mara vile mara hivi. Mbona yeye anawataja na vitabu vyenu?nyie mmeamua kumpotezea?
Na hata Quran na mambo yake mmnaipotezea. Mkiambiwa Issa ndo Yesu hamtaki, mkiambiwa Allah ndo Mungu wenu hamtaki na hamumtaki. Ninyi kifupi hamtaki kujihusisha na habari yoyote from Quran na mambo yake.
Mnanikumbusha ule msemo wenu wa NAMKATAA SHETANI NA MAMBO YAKE.
Mohamad kuoa mtoto wa miaka 6 hayo ni mambo binafsi msichukulie personal. Au kumwona yule Mama Mtu Mzima sana Tajiri Bi Khadija.
Ni mambo binafsi. Mambo ya kulala na Mateka wa kike si issues za kukomaa nazo sana. Angalau naye mumpe kaheshima hata kidogo. Ninyi mnamchukulia kama Nabii Tito wa Tz? Si sawa. Muhamad ana wafuasi zaidi ya Billion moja ana watu jamani.
Mtasema na shetani naye anawafuasi wengi? Anyway. Sawa Biblia haimtambui, hatambuliki popote katika Ulimwengu wenu basi sasa mmekuja mfahamu mumheshimu hata kidogo.
mimi siyo kama wewe nina akili kamili ya kupambanua mambo sahihi na mambo potovu na mambo batili sifuati dini kwa kurithi kama wewe ...hii aya moja tu iliyopo ndani ya msahafu inayo sema...Usitumie kichwa kufugia nywele we mpuuzi
Mimi siyo kama wewe nina akili kamili ya kupambanua mambo kwa usahihi na mambo potovu na mambo batili sifuati dini kwa kurithi kama wewe ...hii Aya moja tu iliyopo ndani ya msahafu inayo sema...Usitumie kichwa kufugia nywele we mpuuzi
Kwa nini??Maxence Melo hizi mada zianze kupigwa lock Up too much.
Kwa swali kama hili kuna haja kabisa ya serikali kunomoa makanisa na misikiti hakuna faida yoyote kuwa navyo hata moja ...kama mimi ni muongo nitajiwe faida moja tu ya msikiti au kanisaKwani mkuu wewe ni dini gani hasa maana sikuelewi
Neno BIBLIA ni mkusanyiko wa vitabu vya mitume na manabii vilivyo kubaliwa ...nikama neno MSAHAFU...ndani ya msahafu kuna torati kuna injili kuna zaburi nk kwa kuwa kuna mafundisho ya hao mitume wa kale na maisha yaoNimeuliza swali Biblia ni nini? Leta andiko linalotambua kuna kitabu kinachoitwa Biblia, sasa unaandika gazeti refu ila sijaona ukijibu swali au umeshajua hamna hilo andiko linalotambua kitu kinachoitwa Biblia umepanic?
Tumswalie mtume jamaniJE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?
1. Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa
Wengi wenu labda hamkuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWE
Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?
MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOA
Sunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Je, kuwa na chagu doa ni sifa ya kiutume?
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Je, Muhammad kunyonya ulimi watu wa jinsia yake, ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVI
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA
Je, kula ulabu ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA
Pia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.
Je, kurogwa ni sifa ya utume?
MASWALI:
(a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na uchawi?
Kama Muhamamd alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake si za kitume na hazifanani na mitume walio tangulia kbala yake?
Leta andiko hata moja linalotambua kitabu kinachoitwa Biblia, ili niiamini hiyo BibliaNeno BIBLIA ni mkusanyiko wa vitabu vya mitume na manabii vilivyo kubaliwa ...nikama neno MSAHAFU...ndani ya msahafu kuna torati kuna injili kuna zaburi nk kwa kuwa kuna mafundisho ya hao mitume wa kale na maisha yao
Kama ni hivyo basi wewe bado ujakomaa kiakili maana ukuwa na tatizo na mafundisho ya dini ya uislamu bali uliudhiwa tu ma waislamu ...kuacha dini kwa kuudhiwa na mtu wa nyakati zako au kuamia dini nyingine kwa sababu hiyo ni kutanga Tanga kipumbavu...acha dini kwa kuona matatizo ya dini yenyewe na siyo watu wa hiyo dini ...kwa sababu hakuna dini isiyo kuwa na washenzi iwe ya kweli wala ya uongo washenzi wapo tu tena kunatofauti ya UKRISTO NA MKRISTO NA TOFAUTI YA UISLAMU NA MUISLAMU wewe umeacha uislamu kwa sababu ya waislamu hivyo umrpotoka ujatumia AKILIMimi? Sina Dini sijui huyo jamaa mwingine ila nlikuwa Muislamu mpaka waliponiudhi miaka hiyo
Kama ni hivyo basi wewe bado ujakomaa kiakili maana ukuwa na tatizo na mafundisho ya dini ya uislamu bali uliudhiwa tu ma waislamu ...kuacha dini kwa kuudhiwa na mtu wa nyakati zako au kuamia dini nyingine kwa sababu hiyo ni kutanga Tanga kipumbavu...acha dini kwa kuona matatizo ya dini yenyewe na siyo watu wa hiyo dini ...kwa sababu hakuna dini isiyo kuwa na washenzi iwe ya kweli wala ya uongo washenzi wapo tu tena kunatofauti ya UKRISTO NA MKRISTO NA TOFAUTI YA UISLAMU NA MUISLAMU wewe umeacha uislamu kwa sababu ya waislamu hivyo umepotoka ujatumia AKILIMimi? Sina Dini sijui huyo jamaa mwingine ila nlikuwa Muislamu mpaka waliponiudhi miaka hiyo

Unafiki na SarcasmUkiacha kuwa Biblia haikuwahi kumzunguzia utasema ok. Ni sababu yeye alikuja miaka 600 plus baadaye. Lakini pia hakuwa na umuhimu katika Uyahudi na Ukristo. Yaani Biblia imemzungumzia hata mtu mpumbavu ikamwacha Mohamed.