Kwa nini nchi kupata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni vigumu sana ?

Kwa nini nchi kupata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni vigumu sana ?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Duniani nchi zilizopata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni chache sana, hazizidi tano ambazo ni Canada, Australia, New Zealand na Singapore.

Nchi karibia zote zenye maendeleo makubwa ya kutamanisha zilizipitia aina fulani ya mapinduzi. Hata Zanzibar kwa sasa inapiga hatua kubwa sana za maendeleo.
 
Revolution ni wake up call kwa tawala zitakazokuja kuwa zikifanya mchezo anguko ni dakika sifuri tu, hivyo hupelekea tawala hizo kufanya majukumu yake ipasavyo, kiufupi nguvu ya wananchi huonekana na hivyo mamlaka huheshimu wananchi na siyo kuwaona kama vibwengo kama ilivyo hapa nchini kwetu...
 
Inawezekana kuionja Pepo bila kufa ?
Umetoa mfano mzuri sana :

Ajabu wanaomini pepo hawataki kusikia neno kifo wakisikia wanakemea na kushikwa na taharuki na kiwewe

Maana yake wanaitaja pepo mdomoni tu hawaitaki kwa dhati kabisa

Ni sawa na kuhusu mada sasa hivi tu akitokea mtu akasema watanzania eeeeh mna itaka inchi ya ahadi
Kama ndio njooni tufanye hivi

Nakuhakikishia atajikuta yupo pekee yake tu !
 
Duniani nchi zilizopata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni chache sana, hazizidi tano ambazo ni Canada, Australia, New Zealand na Singapore.

Nchi karibia zote zenye maendeleo makubwa ya kutamanisha zilizipitia aina fulani ya mapinduzi. Hata Zanzibar kwa sasa inapiga hatua kubwa sana za maendeleo.
this is useless and completely nonsense narrative of the modern times gentleman.

only fools can think and be driven with a such barbaric thoughts politically speaking 🐒
 
Kuna uwezekano wa nchi kupata maendeleo makubwa na ya haraka bila kupitia mapinduzi ya aina yoyote??
Tatizo la mapinduzi linakuja badaye kwa kuzalisha viongozi wasiotaka kuachia madaraka.
Angalia nchi jirani na Tanganyika zilizo pata serikali za mapinduzi.
 
umeeleweka ,lkn kama wafanya mapinduzi ndo hao tumeambiwa ni mali ya mbogamboga wataweza kweli?
 
Duniani nchi zilizopata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni chache sana, hazizidi tano ambazo ni Canada, Australia, New Zealand na Singapore.

Nchi karibia zote zenye maendeleo makubwa ya kutamanisha zilizipitia aina fulani ya mapinduzi. Hata Zanzibar kwa sasa inapiga hatua kubwa sana za maendeleo.
Serikali haiongozwi na malaika inaongozwa na binadamu tu sometimes ni wakawaida kukushinda hata wewe.

Kama Binadamu hivyo wanamapungufu, tamaa na urafi wa mali, Ego na kujihisi mwenye nguvu katika jamii.

Kama hakutakua na kiongozi wa kuwaongoza wengine waiogope na kuiheshimu sheria mapato na rasilimali... Bila hivyo wanakuwa ni wahuni kama wahuni wengine wanaojificha nyuma ya serikali.
 
Back
Top Bottom