Umetoa mfano mzuri sana :Inawezekana kuionja Pepo bila kufa ?
Huenda bado wanahitaji kufanya mapinduzi tena na tena hadi wapate viongozi boraKama Somalia na Burundi, zina maendeleo makubwa sana
Kama Somalia na Burundi, zina maendeleo makubwa sana
this is useless and completely nonsense narrative of the modern times gentleman.Duniani nchi zilizopata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni chache sana, hazizidi tano ambazo ni Canada, Australia, New Zealand na Singapore.
Nchi karibia zote zenye maendeleo makubwa ya kutamanisha zilizipitia aina fulani ya mapinduzi. Hata Zanzibar kwa sasa inapiga hatua kubwa sana za maendeleo.
Tatizo la mapinduzi linakuja badaye kwa kuzalisha viongozi wasiotaka kuachia madaraka.Kuna uwezekano wa nchi kupata maendeleo makubwa na ya haraka bila kupitia mapinduzi ya aina yoyote??
Serikali haiongozwi na malaika inaongozwa na binadamu tu sometimes ni wakawaida kukushinda hata wewe.Duniani nchi zilizopata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni chache sana, hazizidi tano ambazo ni Canada, Australia, New Zealand na Singapore.
Nchi karibia zote zenye maendeleo makubwa ya kutamanisha zilizipitia aina fulani ya mapinduzi. Hata Zanzibar kwa sasa inapiga hatua kubwa sana za maendeleo.