robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
sio ushoga tu ndio utovu wa kimaadili, hata kuomba omba kuchangiwa wakati una afya na nguvu za kufanya kazi, ni utovu wa kimaadili na tabia mbaya isiyofaa kutendwa na mTanzania mwenyewe akili timamu.....Kila wakati naangalia wabunge wanajadili nini. Kama kawaida wanamwaga sifa kwa rais. Hili la USHOGA wanatoa sifa za uongo. Rais hajakemea ushoga hata siku moja. Yawezekana ana lake kichwani lakini hajawahi.
Neno analotumia ni MAADILI ambalo halimaanishi USHOGA. Ninachotaka kufahamu, ni kwa nini rais wa nchi hawezi kusema wazi kwamba wa-TZ hatutaki ushoga? Kuna nini nyuma ya pazia? Hii inashilia nini juu ya tabia na imani ya rais?
USA watakata misaada na yeye kutwa yupo hukoKila wakati naangalia wabunge wanajadili nini. Kama kawaida wanamwaga sifa kwa rais. Hili la USHOGA wanatoa sifa za uongo. Rais hajakemea ushoga hata siku moja. Yawezekana ana lake kichwani lakini hajawahi.
Neno analotumia ni MAADILI ambalo halimaanishi USHOGA. Ninachotaka kufahamu, ni kwa nini rais wa nchi hawezi kusema wazi kwamba wa-TZ hatutaki ushoga? Kuna nini nyuma ya pazia? Hii inashilia nini juu ya tabia na imani ya rais?
SureHatutaki kuwaudhi wafadhili mkuu...😊
😂😁Hatutaki kuwaudhi wafadhili mkuu...😊
Kizimkazi oyeeee....✊Sure
Amepotea kitambo sn sijui yupo kwa sagomaKizimkazi oyeeee....✊
Ulifuatilia Makonda alivyopiga vita ushoga halafu Waziri wa Mambo ya Nje akakanusha zile kauli za Makonda na kusema ni zake binafsi si msimamo wa serikali?Kila wakati naangalia wabunge wanajadili nini. Kama kawaida wanamwaga sifa kwa rais. Hili la USHOGA wanatoa sifa za uongo. Rais hajakemea ushoga hata siku moja. Yawezekana ana lake kichwani lakini hajawahi.
Neno analotumia ni MAADILI ambalo halimaanishi USHOGA. Ninachotaka kufahamu, ni kwa nini rais wa nchi hawezi kusema wazi kwamba wa-TZ hatutaki ushoga? Kuna nini nyuma ya pazia? Hii inashilia nini juu ya tabia na imani ya rais?
We jamaa una mafu makali Hadi kwenye kuandika.DADIZO UNAWEJA KUDA GUNA MIKADABA YA ZIRI
We mwanao akiwa shoga unakubali na siku ya harusi yake unakwenda kama mzazi mwanao kijana wa kiume anaolewa, tuanzie kwanza hapo.Ulifuatilia Makonda alivyopiga vita ushoga halafu Waziri wa Mambo ya Nje akakanusha zile kauli za Makonda na kusema ni zake binafsi si msimamo wa serikali?
Suala la ushoga ni suala la haki za binadamu na rais akikemea ushoga anajiweka katika hali mbaya sana, sana sana, hususan kimataifa.
Rais wa Burundi kakemea ushoga, huko nje amekuwa a laughing stock mpaka wa late night TV comedians. Huko Tanzania watu hawajali haki za binadamu.
Hapo Tanzania watu hamuijui dunia mnaishi kama mko kijij8ni mmefungiwa, wengi hata Kiingereza hamjui hivyo hamuwezi kufuatilia international media.
Na wanaishi naoataukemeaje wakati serikali inaishi nao kwa mikataba
Prof mwakyembe alishafunguka ,kwamba wizarani afya ,wanamikataba ya ushoga
Tuishi nao au siyosio ushoga tu ndio utovu wa kimaadili, hata kuomba omba kuchangiwa wakati una afya na nguvu za kufanya kazi, ni utovu wa kimaadili na tabia mbaya isiyofaa kutendwa na mTanzania mwenyewe akili timamu.....
yafaa sana wanainchi wote Tanzania, kumuunga mkono Rais comrade Dr.Samia Suluhu Hassan katika jitihada zake muhimu, za dhati na za makusudi, kukemea utovu wa kimaadili wa aina zote, katika ujumla wake na sio kuchagua fedhaha na aibu Fulani pekee. si sawa 🐒
kuishi na fedheha au aibu ni Tatizo la kiutimamu.Tuishi nao au siyo
Maana wapo...media wapo,huko kwenye burdan wapo
Maofisini na kwenye mashirika wapo...
Bado huku mitaani sasa
Ova