Kwa nini Rais hajakemea Ushoga badala yake anasema maadili?

Kwa nini Rais hajakemea Ushoga badala yake anasema maadili?

kuishi na fedheha au aibu ni Tatizo la kiutimamu.

Tuungane Pamoja na Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kukemea utovu wa kimaadili kuanzia kwenye familia zetu 🐒
Huyo huyo unayemtaja kwenye hafla zake/zao mashoga wanatia timu...kuanzia wanamuziki,wabunifu wa mavaz nk
Vita vya ushoga tz ni unafki tu

Ova
 
Akuishi na fedheha au aibu ni Tatizo la kiutimamu.

Tuungane Pamoja na Rais Dr.Samia Suluhu Hassan kukemea utovu wa kimaadili kuanzia kwenye familia zetu 🐒
Ni kuwaangalia tu Acha wanyanduane maana hakuna namna

Ova
 
Huyo huyo unayemtaja kwenye hafla zake/zao mashoga wanatia timu...kuanzia wanamuziki,wabunifu wa mavaz nk
Vita vya ushoga tz ni unafki tu

Ova
Rais Dr Samia Suluhu Hassan hawez kuja nyumbani kwako akakwambia wafundishe wanawe maadili mema. Tanzania ni familia yake, ina kila aina ya watoto wenye utovu wa kimaadili tofauti tofauti, na hata waliongia kwenye hali hiyo kama ndio mwanawe kwenye familia yako utamua au utamfanyeje?

Jambo hili la aibu sio la kuskiza maelekezo kutoka kwa fulani. Ni kama ukimwi tu 🐒
 
Kila wakati naangalia wabunge wanajadili nini. Kama kawaida wanamwaga sifa kwa rais. Hili la USHOGA wanatoa sifa za uongo. Rais hajakemea ushoga hata siku moja. Yawezekana ana lake kichwani lakini hajawahi.

Neno analotumia ni MAADILI ambalo halimaanishi USHOGA. Ninachotaka kufahamu, ni kwa nini rais wa nchi hawezi kusema wazi kwamba wa-TZ hatutaki ushoga? Kuna nini nyuma ya pazia? Hii inashilia nini juu ya tabia na imani ya rais?
mbona hili swala linakusumbua??
hajafanya hivo kwasababu tuna mambo muhimu ya kufanya zaid

Unataka aruhusu muoane au
 
sio ushoga tu ndio utovu wa kimaadili, hata kuomba omba kuchangiwa wakati una afya na nguvu za kufanya kazi, ni utovu wa kimaadili na tabia mbaya isiyofaa kutendwa na mTanzania mwenyewe akili timamu.....

yafaa sana wanainchi wote Tanzania, kumuunga mkono Rais comrade Dr.Samia Suluhu Hassan katika jitihada zake muhimu, za dhati na za makusudi, kukemea utovu wa kimaadili wa aina zote, katika ujumla wake na sio kuchagua fedhaha na aibu Fulani pekee. si sawa 🐒
Rais wetu nae ni ombaomba tu, Kila siku Yuko nje kuomba
 
Rais Dr Samia Suluhu Hassan hawez kuja nyumbani kwako akakwambia wafundishe wanawe maadili mema. Tanzania ni familia yake, ina kila aina ya watoto wenye utovu wa kimaadili tofauti tofauti, na hata waliongia kwenye hali hiyo kama ndio mwanawe kwenye familia yako utamua au utamfanyeje?

Jambo hili la aibu sio la kuskiza maelekezo kutoka kwa fulani. Ni kama ukimwi tu 🐒
Ndy mpambane na hali zenu na malezi...
Ila watoto sahv wana713 sana
Vitoto vya kiume ukiviangalia
Life style zao syo kabisa

Ova
 
Rais wa Burundi kakemea ushoga, huko nje amekuwa a laughing stock mpaka wa late night TV comedians. Huko Tanzania watu hawajali haki za binadamu.

Nchi za kimagharibi ni za kipuuzi sana
 
Ndy mpambane na hali zenu na malezi...
Ila watoto sahv wana713 sana
Vitoto vya kiume ukiviangalia
Life style zao syo kabisa

Ova
ni jukumu la familia na jamii nzima, ukizembea ktka familia yako aibu na fedheha itaanza kwenye familia kabla ya jamii na Taifa zima kwa ujumla 🐒🐒
 
..inasemekana ZANZIBAR ndio makao makuu ya ushoga hapa Tanzania.
 
We mwanao akiwa shoga unakubali na siku ya harusi yake unakwenda kama mzazi mwanao kijana wa kiume anaolewa, tuanzie kwanza hapo.
Kwa nini unashindwa kujadili hoja bila kui personalize kwangu?

Unajuaje nina mtoto?

Na nikiwa na mtoto ambaye sipendi awe shoga ina maana gani? Ina maana nilazimishe dunia nzima ya watu wanaopenda ushoga wasipende ushoga?

Kwani nikiwa na mwanangu halafu sipendi awe polisi hilo lina maana nipige vita watu wote wa dunia nzima wasiwe polisi?

Kwa nini watu hamuelewi haki za watu kuwa na uhuru binafsi wa kuamua maisha yao?

Wewe ambaye hupendi ushoga ukilazimishwa upende ushoga utafurahi?
 
Nchi za kimagharibi ni za kipuuzi sana
Hapana, si hivyo.

Huyo rais amesema anataka mashoga wapigwe mawe, kauli za kurudi zama za medieval.



Hao watu wa magharibi wameelewa suala la haki ya kibinadamu ya uhuru wa mtu binafsi.

Ukishaondokankwenye mfumo wa utawala wa sheria, huo ndio mwanzo wa kumzushia mpinzani wako shoga na kumpiga mawe auawe tu. Hii habari itakuumiza hata wewe unayejifanya hupendi mashoga.

Huko Afrika mnapelekwapelekwa kupangiwa maisha kijamiijamii tu, hamuelewi wala kuthamini uhuru wa mtu binafsi kujipangia maisha yake mwenyewe.

Na inawezekana kabisa usinielewe kama samaki anayeishi baharini asivyoweza kuelewa hali ya jangwani Sahara katikati.
 
Kama uwongo ilikuweje mpaka leo mwakyembe na mwandishi habari yule bint , hawajawahi kuambiwa na serikali waombe msamaha labda kwa kutoa kauli za uwongo(ONYO)
Unafikiri ilikuwa uwongo
Mbona wapo mashoga na proffesional zao

Ova
 
Rais ana akili timamu hawezi poteza muda wake kujadili mambo ya faragha yenye less than 0.1% impact kwenye jamii. Kuna mambo mengi na ya msingi ya Rais kujadili yanayogusa maslahi ya jamii as a whole kuliko ishu ya ushoga. Wewe ukiulizwa unamjua shoga yeyote kwenye circle yako more likely hakuna ila unataka Rais apoteze muda kujadili ujinga ujinga tu.
 
Back
Top Bottom