zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Si sheria zipo tayari, na mtu akikutwa na hatia anafungwa miaka 30 sasa akemee kitu ambacho kinahitaji utekelezaji tu?Kila wakati naangalia wabunge wanajadili nini. Kama kawaida wanamwaga sifa kwa rais. Hili la USHOGA wanatoa sifa za uongo. Rais hajakemea ushoga hata siku moja. Yawezekana ana lake kichwani lakini hajawahi.
Neno analotumia ni MAADILI ambalo halimaanishi USHOGA. Ninachotaka kufahamu, ni kwa nini rais wa nchi hawezi kusema wazi kwamba wa-TZ hatutaki ushoga? Kuna nini nyuma ya pazia? Hii inashilia nini juu ya tabia na imani ya rais?
Then unaposema hapingi kwani ni lini Tanzania tumeambiwa tuwe mashoga ili yeye atakiwe kusema Yes or No?
Huyo JPM mwenyewe kipindi Makonda anakamata mashoga alimkana kabisa na wala hakuwahi unga mkono operesheni ile!! Maana sheria zipo wala sio suala la kusimama majukwaani ni wewe mtafute tu mkamate basi kelele za nini?