Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Kwasababu ya mawazo yako ni yakipuuzi mno,halafu jifunze kuandika kwa ufasaha...ujishindwa ni kitu gani?Kwanza thibitisha mimi ni dogo, ujishindwa hapo wewe ni mtu wa kuungaunga habari tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu ya mawazo yako ni yakipuuzi mno,halafu jifunze kuandika kwa ufasaha...ujishindwa ni kitu gani?Kwanza thibitisha mimi ni dogo, ujishindwa hapo wewe ni mtu wa kuungaunga habari tu.
Ukitaka kazi ya kuwa secretary wangu karibu.Kwasababu ya mawazo yako ni yakipuuzi mno,halafu jifunze kuandika kwa ufasaha...ujishindwa ni kitu gani?
Wewe ni shoga ndio maana umecharuka, hapa umeulizwa swali fupi tu kuwa mwanao akiwa shoga utafurahi?Ukitaka kazi ya kuwa secretary wangu karibu.
On second thoughts, wewe mwenyewe unaandika bila spacing.
Nakupeleka ignore list unashusha viwango vya mazungumzo. Kuanzia hapa sitaona unachopost.
Sitaki shari na country bumpkins hapa.
unataka melo afungiwe kama alivyofungiwa mange na insta?Kila wakati naangalia wabunge wanajadili nini. Kama kawaida wanamwaga sifa kwa rais. Hili la USHOGA wanatoa sifa za uongo. Rais hajakemea ushoga hata siku moja. Yawezekana ana lake kichwani lakini hajawahi.
Neno analotumia ni MAADILI ambalo halimaanishi USHOGA. Ninachotaka kufahamu, ni kwa nini rais wa nchi hawezi kusema wazi kwamba wa-TZ hatutaki ushoga? Kuna nini nyuma ya pazia? Hii inashilia nini juu ya tabia na imani ya rais?
Kwa hili waarabu unawaonea, nchi inayoongoza kwa ushoga duniani ni Israeli.Mambo ya kiarabu hayo! Tutawaudhi. Hata hivyo nakwenda kusoma ujumbe wa Mange Kimambi!
Kwa akili yako anayeishi kijijini haijui Dunia? Mbona kama uko chini ya kiwango. Tangu enzi za wWarumi bado unaamini Kijijini wako chini ya kiwango! Rubbish of a sort!Ulifuatilia Makonda alivyopiga vita ushoga halafu Waziri wa Mambo ya Nje akakanusha zile kauli za Makonda na kusema ni zake binafsi si msimamo wa serikali?
Suala la ushoga ni suala la haki za binadamu na rais akikemea ushoga anajiweka katika hali mbaya sana, sana sana, hususan kimataifa.
Rais wa Burundi kakemea ushoga, huko nje amekuwa a laughing stock mpaka wa late night TV comedians. Huko Tanzania watu hawajali haki za binadamu.
Hapo Tanzania watu hamuijui dunia mnaishi kama mko kijij8ni mmefungiwa, wengi hata Kiingereza hamjui hivyo hamuwezi kufuatilia international media.
Wacha mbwembwe wewe, hata huu mtandao wa internet unaoutumia kuidogosha Marekani umeanzishwa na Wamarekani.Kwa akili yako anayeishi kijijini haijui Dunia? Mbona kama uko chini ya kiwango. Tangu enzi za wWarumi bado unaamini Kijijini wako chini ya kiwango! Rubbish of a sort!
International media una maana za US ndo international? Ni ile syndrome kwamba ukiifahamu US unaifahamu Dunia. Mambo ya late night show yanatuhusu nini TZ. comedian wanafurahisha local audience. Kinachofurahisha US siyo lazima kilete raha Bongo. Yaani tuseme ushoga ni bora ili late night show wasitucheke?
Hata wasomi!ataukemeaje wakati serikali inaishi nao kwa mikataba
Prof mwakyembe alishafunguka ,kwamba wizarani afya ,wanamikataba ya ushoga
Ombaomba na mzururaji kama yule hawezi bwana, watamla kichwa🤣Kila wakati naangalia wabunge wanajadili nini. Kama kawaida wanamwaga sifa kwa rais. Hili la USHOGA wanatoa sifa za uongo. Rais hajakemea ushoga hata siku moja. Yawezekana ana lake kichwani lakini hajawahi.
Neno analotumia ni MAADILI ambalo halimaanishi USHOGA. Ninachotaka kufahamu, ni kwa nini rais wa nchi hawezi kusema wazi kwamba wa-TZ hatutaki ushoga? Kuna nini nyuma ya pazia? Hii inashilia nini juu ya tabia na imani ya rais?
Bado anaendelea na hizi issue za kutoa habari za mambo ya ajabu ajabu!! nilifikiri atakuwa ameamua kuachana nayo.Mambo ya kiarabu hayo! Tutawaudhi. Hata hivyo nakwenda kusoma ujumbe wa Mange Kimambi!
Usitoke kwenye mada mambo uliyoandika kwamba watu wa kijijini. sijawalaani kwa teknolojia. Tunalaani mambo yao wanayoingiza kwa wengine, kutaka tulamishwe.Wacha mbwembwe wewe, hata huu mtandao wa internet unaoutumia kuidogosha Marekani umeanzishwa na Wamarekani.
Servers za Jamiiforums hii unayoitumia kuwadogosha Wamarekani zipo Marekani.
Kaanzishe mtandao wako wa mabua kijijini kwako Tanzania halafu nenda kasifie hicho kijiji chako na kuwakashifu Wamarekani nitakuona mtu wa maana.
Vinginevyo unaleta unafiki wa "Baniani mbayq, kiatu chake dawa".
Kuna mtu kule Ujerumani aliamua kula binadamu mwenzake kwa uchaguzi wake. Unajua ilikuwaje?Tukisema ushoga ni aina ya starehe mtu anayochagua itakuwaje?
Wewe uko kijijini kimawazo hata yasiyofaa na yanayofaa huyajui tofauti yake.Usitoke kwenye mada mambo uliyoandika kwamba watu wa kijijini. sijawalaani kwa teknolojia. Tunalaani mambo yao wanayoingiza kwa wengine, kutaka tulamishwe.
Kama hayo yote yako marekani ndo tulawitiwe?
Polepole tufanyishwe yasiyofaa kisa kuna server na mtandao?
Kwa hiyo kijijini kwa tafsiri yako ni kutojua? Hiyo nayo ni aina ya ignoranceWewe uko kijijini kimawazo hata yasiyofaa na yanayofaa huyajui tofauti yake.
Kijiji cha Tanzania, si kijiji tuKwa hiyo kijijini kwa tafsiri yako ni kutojua? Hiyo nayo ni aina ya ignorance
Hongera kwa kuipenda Amerika.Kijiji cha Tanzania, si kijiji tu
Kijiji chenye choo la shimo, barabara mbovu, kisicho na umeme, maji safi na salama. Typical Tanzanian village.
Hata wewe unaipenda Amerika, unatumia mtandao wa internet ulioanzishwa na Amerika.MImi nakuunga mkono.Siamini m-TZ kuamini ustaarabu ni kuwafurahisha wamarekani. Yeye kasema kama rais wa nchi yake. Mbona US inataka Assange apelekwe? Na akipelekwa wanataka anyongwe! Ni wao na huyu ni yeye. so what
Hongera kwa kuipenda Amerika.
Haiingii akili kwa mtu mzima kufurahishwa na hili kutoka Amerika, halafu anaamua kufurahia na lile hata kama ni jambo la hovyo tu! Mtu mzima?Hata wewe unaipenda Amerika, unatumia mtandao wa internet ulioanzishwa na Amerika.
Unatumia Jamiifirums, serves zake ziko Amerika.
Kama kweli huipendi Amerika anzisha mtandao wako wa mabua kijijini kwako.
Vinginevyo utakuwa unaleta unafiki wa "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
Nakwambia hivi, kama huipendi Amerika toka hata hapa, huu mtandao wa JF unaoutumia servers zake ziko Amerika.Haiingii akili kwa mtu mzima kufurahishwa na hili kutoka Amerika, halafu anaamua kufurahia na lile hata kama ni jambo la hovyo tu! Mtu mzima?