Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Msichanganye kati ya ushoga na ndoa za jinsia moja. Ushoga hauhitaji harusi, huo upo nchini tangu muda mrefu tu wala tusiwasingizie wafadhili. Jambo ambalo ni geni kwa Tanzania (na Africa) ni hilo la ndoa za jinsia moja, ambazo walau hapo unaweza ukahusisha na harusiWe mwanao akiwa shoga unakubali na siku ya harusi yake unakwenda kama mzazi mwanao kijana wa kiume anaolewa, tuanzie kwanza hapo.