Kwa nini Rais hajakemea Ushoga badala yake anasema maadili?

Hivi hamwoni kama huku kuutaja taja ushoga ni kuuingiza kwenye akili za watu? Kwanini tusisitize Rais atamke nyongeza ya mishahara na siyo haya mambo ya ushoga?

Naona kama vile tunalazimisha sana ushoga kuteka mijadala ya jamii yetu kana kwamba shida yetu ni ushoga tu, au ndiyo mkakati wa hao waeneza ushoga?

Ova
 
Je JPM aliwahi kukemea ushoga, na hao wengine je?

Na je hao mashoga kwani wao hawalipi kodi za nchi hii, wao siyo raia wa nchi hii?

Kila mtu ameamua aendelee na maisha yake, yeye kama Rais ni wa wote na anachukua kodi za wote hapa nchini.
 
JPM alisema wazi kabisa na kutoa mfano kwamba nguruwe hakosei shemu ya kuweka!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…