adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Nadhani wewe umri wako ni mdogo kuna mambo mengi huyafahamu. Mengi sana.naamini humu JF utajifunza.
Unamfahamu Ayatollah Ruhollah Khomeini? Msome. Then msome Salman Rushdie. Naamini unapenda Elimu na una Uelewa mzuri. Baadaye utakuja kuwa na Uelewa mkubwa sana ukiwa na spirit ya kujifunza.
Nawajua wote wakina Khomeini tokea yule wa kwanza aloyeongoza mapinduzi ya Irani ambaye anachukuliwa kama mtakatifu na Baba wa Taifa.Nadhani wewe umri wako ni mdogo kuna mambo mengi huyafahamu. Mengi sana.naamini humu JF utajifunza.
Unamfahamu Ayatollah Ruhollah Khomeini? Msome. Then msome Salman Rushdie. Naamini unapenda Elimu na una Uelewa mzuri. Baadaye utakuja kuwa na Uelewa mkubwa sana ukiwa na spirit ya kujifunza.
Uislamu sasa hatuna Dola ya kiutawala kwa hiyo hakuna kiongozi yeyote mwenye mamlaka ya kupewa utii Moja kwa moja na kauli yake kufanya kuwa misimamo wa waislamu wote na kea kuongeza Shia ni asilimia hawafiki hata asilimia arobaini ya waislamu wote na kutokana na itikadi zao fulani wanatoka hadi katika Uislamu sasa nani atamtii kiongozi wa kishia ?