Kwa nini SALMAN RUSHDIE alitangaziwa Fatwa na Ulimwengu wa Kiislamu kwa kuchapisha Kitabu cha Aya za Kishetani?

Nadhani wewe umri wako ni mdogo kuna mambo mengi huyafahamu. Mengi sana.naamini humu JF utajifunza.

Unamfahamu Ayatollah Ruhollah Khomeini? Msome. Then msome Salman Rushdie. Naamini unapenda Elimu na una Uelewa mzuri. Baadaye utakuja kuwa na Uelewa mkubwa sana ukiwa na spirit ya kujifunza.

Nawajua wote wakina Khomeini tokea yule wa kwanza aloyeongoza mapinduzi ya Irani ambaye anachukuliwa kama mtakatifu na Baba wa Taifa.

Uislamu sasa hatuna Dola ya kiutawala kwa hiyo hakuna kiongozi yeyote mwenye mamlaka ya kupewa utii Moja kwa moja na kauli yake kufanya kuwa misimamo wa waislamu wote na kea kuongeza Shia ni asilimia hawafiki hata asilimia arobaini ya waislamu wote na kutokana na itikadi zao fulani wanatoka hadi katika Uislamu sasa nani atamtii kiongozi wa kishia ?
 
Fatwa ilitolewa na Supreme Leader Ayatollah Ruhollah Khomeini wa Iran mwaka 1989. Ayatollah mwenyewe ashafariki na Rushdie bado anavuta upepo
Mimi Ayotollah simtambui kama ni kiongozi wa waislamu na hata sijui hiyo fatwa ikifika kwa misingi ipi hivyo siwezi kumfuata ..
 
If that is the case, unamwekeaje mtu fatwa eti kakufuru.yeye haamini uwepo wa Mohamed , au anamuona Mohamed in another face, iweje unamuua eti amekufuru?
Aliyetoa hiyo fatwa mimi simjui ndio kwamza nimemjua hapa Jf na sijui hiyo fatwa ya kuuwawa kwa huyo jamaa ameitoa kwa misingi ipi .Mfano hapa bongo atokee Mwamposa au kiongozi wa kanisa la Roma atoe fatwa Chizi Maarifa auwawe huo inakuwa ndio msimamo wa Wakiristo wote Duniani ?

Nikija kihistoria Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allah ) aliishi na watu wasiomumini na kumuita majina sio kejeli kote Makka kipindi uislamu hauna nguvu mpaka Madina kipindi Uislamu unatawala na jambo la kuuwawa kisa hawaamini halikutokea ..
 
Mtoa mada na wachangiaji wengi hamna mnachokijua katika dini tukufu na safi ya kiislam.
kulikuwa tangia kipindi cha mtume watu kama nyinyi na hao waandinshi wenu wa kujifanya waislam na uislam ulizidi kunawiri tu.
kwa taarifa yao mpaka mtume anakufa walikuwa wayahud kibao na wakiristo na kaishi nao vyeme tu.Waislam hawaingii vita bila ya mashart kibao na haujawi kumlazimisha asiye muislam kuukubali uislam kwa silaha hata but wanapigana kwa mtu anayewapiga .
Jinsi uislam unavyopigwa vita kama ingekuwa si dini ya haq kwel ingelishafutwa zaman katika uso wa duniani hapa lakini waaapi huko huko kwa wapigia vita ndo unashamiri na kustawi.
Hiyo dini yenu haina utukufu wowote zaidi ya ujinga tu
 
Ni kupeleke yemen ukajionee usafi wenu kule.shukuru hupo tz nchi ya ccm
 
Kama Lugha ya Kiingereza ipo kwako na unaielewa. Msome SALMAN RUSHDIE KATIKA KITABU CHAKE CHA AYA ZA KISHETANI.
Jina lako limesadifu ulichokiandika. Ni Waislamu wajinga pekee ndiyo wanashughulika na huyo Salman.
 
Nadhani wewe umri wako ni mdogo kuna mambo mengi huyafahamu. Mengi sana.naamini humu JF utajifunza.

Unamfahamu Ayatollah Ruhollah Khomeini? Msome. Then msome Salman Rushdie. Naamini unapenda Elimu na unin a Uelewa mzuri. Baadaye utakuja kuwa na Uelewa mkubwa sana ukiwa na spirit ya kujifunza.
Unaweza kunithibitishia ya kuwa Khomein alikuwa Muislamu ? Ukiweza mimi najitoa leo jf.
 
Hii aya ya pili, maelezo haya ameyasema nani ?

Unakubali Mtume aliishi na Wasio kuwa Waislamu ?

Shida yenu hivi vitu hamvisomi na mkavielewa, Kuna aya au Hadithi zinafasiriwa kutokana na muktadha wa hali. Vyote Mtume alivifanyia kazi.
Mkuu naomba unisaidie kitu kimoja hivi ukisema hakuna kulazimishana kwenye dini inamaanisha kuwa sio lazima wasiokuwa waislam wawe waislam au hata waislam ambao wameritad nao hawalazimishwi kurudi kwenye uislam , na je kwa sheria ya uislam mtu akihama uislam kuna adhabu yoyote ambayo Allah ameagiza apewe?
 
Aliyetoa hiyo fatwa mimi simjui ndio kwamza nimemjua hapa Jf na sijui hiyo fatwa ya kuuwawa kwa huyo jamaa ameitoa kwa misingi ipi .Mfano hapa bongo atokee Mwamposa au kiongozi wa kanisa la Roma atoe fatwa Chizi Maarifa auwawe huo inakuwa ndio msimamo wa Wakiristo wote Duniani ?

Nikija kihistoria Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allah ) aliishi na watu wasiomumini na kumuita majina sio kejeli kote Makka kipindi uislamu hauna nguvu mpaka Madina kipindi Uislamu unatawala na jambo la kuuwawa kisa hawaamini halikutokea ..
Mkuu huwa unajibu kwa staha huna mihemko, naomba kuuliza mtu akihama uislam adhabu yake kweli ni kifo ? au ni lazima ukishazaliwa na wazaza waislam basi hutakiwi kubadilika

Kuna aya inasema hakuna kulazimishana kwenye dini je kwa waislam inakubalika kutokana na sheria zake au ni kwa wasio waislam pekee ndio hakuna kulazimishana
 
Nawajua wote wakina Khomeini tokea yule wa kwanza aloyeongoza mapinduzi ya Irani ambaye anachukuliwa kama mtakatifu na Baba wa Taifa.

Uislamu sasa hatuna Dola ya kiutawala kwa hiyo hakuna kiongozi yeyote mwenye mamlaka ya kupewa utii Moja kwa moja na kauli yake kufanya kuwa misimamo wa waislamu wote na kea kuongeza Shia ni asilimia hawafiki hata asilimia arobaini ya waislamu wote na kutokana na itikadi zao fulani wanatoka hadi katika Uislamu sasa nani atamtii kiongozi wa kishia ?
Hao ni wajinga wanafikiria uislamu ni centralized kama yule sijui sangara ndo papa wao akisema ndoa za jinsia moja basi wao wanakubali.

Sisi tunafuata muongozo wa kitabu cha Mungu. Wao ndo maana hata dhambi wanaenda kufutwa na mtu kama wao huko kanisani na mtu huyo hyo siku kadhaa unasikia mara kadhulumy watu au Kabaka.

Wengi ni vichaa jamii ya wakristo wanafuata mtu sio dini.
 
Hakuna adabu maana dini zilikuwepo tangu dhamani za mayahudi na washiriki ndo maana tunasema " sisi tuna dini yetu wao Wana dini yao"
Mkuu naomba unisaidie kitu kimoja hivi ukisema hakuna kulazimishana kwenye dini inamaanisha kuwa sio lazima wasiokuwa waislam wawe waislam au hata waislam ambao wameritad nao hawalazimishwi kurudi kwenye uislam , na je kwa sheria ya uislam mtu akihama uislam kuna adhabu yoyote ambayo Allah ameagiza apewe?
 
Aliyetoa fatwa hiyo ni nani na anacheo gani katika Uislamu ?Na waislamu asilimia ngapi wanajali hilo ?

Fanya utafiti mfupi ,pitia nyumba jirani halafu taja jina hilo katika nyumba kumi ukipata hata nyumba 2 zinazomjua huyo mtu najitoa Jf.
Alitolewa na Ayatollah Al khomeini kiongozi mkuu wa kidini wa Iran ndie aliyetoa dau pia
 
Hao ni wajinga wanafikiria uislamu ni centralized kama yule sijui sangara ndo papa wao akisema ndoa za jinsia moja basi wao wanakubali.

Sisi tunafuata muongozo wa kitabu cha Mungu. Wao ndo maana hata dhambi wanaenda kufutwa na mtu kama wao huko kanisani na mtu huyo hyo siku kadhaa unasikia mara kadhulumy watu au Kabaka.

Wengi ni vichaa jamii ya wakristo wanafuata mtu sio dini.
Umeyatoa wapi haya
 
Umeyatoa wapi haya
Katika uislamu hata uwe sijui ni Nan hauna cheo cha kutoa fatwaah kinyume cha maandiko ,ukitoa make sure una quotes kutokana na katiba yetu qur an hakuna usasa wala ni.

Nyie papa anajadili kuangalia uwezekano wa kuruhusu ndoa za jinsia moja je ni kweli bible inafundisha ivyo?
 
Kwani pope ni kiongozi wa Wakristo wote,pili aliquote maandiko gani kuthibitisha madai yako
 
If that is the case, unamwekeaje mtu fatwa eti kakufuru.yeye haamini seeuwepo wa Mohamed , au anamuona Mohamed in another face, iweje unamuua eti amekufuru?
Hoja yako nini!?..kwamba muislam akizini inakutia shaka kwamba uislam unaruhusu zinaa!!
 
Aliyetoa fatwa hiyo ni nani na anacheo gani katika Uislamu ?Na waislamu asilimia ngapi wanajali hilo ?

Fanya utafiti mfupi ,pitia nyumba jirani halafu taja jina hilo katika nyumba kumi ukipata hata nyumba 2 zinazomjua huyo mtu najitoa Jf.
Fatwa kwenye uislamu ipo au haipo?
Na ina maana gani
 
Back
Top Bottom