matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Jamaa wanatukosesha MENGI sana.Imani na nyumba za ibada imekuwa ni kichaka cha kufichia maovu, wengi wanahudhuria Kwa sababu ya mazoea na desturi...hiyo miujiza itatoka wapi?
HatariTatizo asilimia kubwa sio wasafi. Pia pesa mbele inafanya nguvu za Mungu zipungue.
Hatuioni mkuu. Waigizaji watu wa hypnosis, manipulations, astral projections, mind programing na social psychologists na wasanii ndio wanatamba madhabahuni. Wale real jamii imeanza kuwamiss.Kama una imani katika Mungu hakika utaiona miujiza lakini kama huna kwako miujiza utaona ni mazingaombwe.Yesu aliwambia Siku ya tatu nitafufuka lakini hata wanafunzi wake walipata mashaka.Kwa hiyo imani katika Mungu ndiyo mhimu kuliko muujiza wenyewe kwani unaweza kuwa fake
Wakiingia kwenye siasa, kupinga au kuunga mkono harakati za kisiasa ndio hata hii feki itapotea kabisa.Mmeruhusu ushoga,
Watu wanauwawa bila hatia na hakuna wa kukemea.
Dunia imekuwa mauwaji tu, dhulma na Viongozi wanacheka kwa kuwa wapo madarakani
Nani wa kuwatetea leo
Ishara zote mnaziona na matukio mnayaona ila mmekaa kimya tu