Kwa nini Trump anawadharau sana viongozi wa Ulaya

Walesema wanataka kumsindikiza Zelensky😀
Hakuna cha kumsindikiza Zelensky wala nini sijui, hizo zilikuwa ni mbinu zao za kwenda kumuona Trump, lakini kikubwa zaidi ni kutaka kupeleka umbea wa kumwaribia sifa Putin na Urusi kwa Trump kwa kurudia rudia matra zao za kila leo kwamba "Putin si binadamu wa kuaminika na Urusi ni tishio kubwa kwa usalama wa bara zima la Ulaya" kwa ufupi hawa ni ma-scare mongers per excellency, kwa bahati nzuri Trump alisha ushitukia usanii wao, juzi juzi hapa nilisoma sehemu Trump akisema kwamba Urusi si tishio la bara la Ulaya wala Taifa lolote lile hapa Duniani, sasa hatujui jamaa hawa wa EU na Uingereza watakuja na adithi gani mpya ya kutunga kuhusu tishio la Putin na Urusi - hawakati tamaa ya kutisha tisha watu kuhusu Urusi na Putin.
 

Acha wadharauliwe tu; imagine Putin kaja peke yake, wao wamekuja si chini ya 7 kumcomvince Trump.

Tulisema hapa Russia inapigana na NATO na EU ndani ya Ukraine lakini watu wakabisha. Sasa kama vita haiwahusu wameenda kufanya nini. Putin kidume bwana kasimama peke yake kuwapiga kundi lote na bado wamemshindwa
 
Ikulu ya Urusi imepuuzilia mbali mazungumzo kuhusu mkutano kati ya Rais wa Urusi Vladimir Putin na Volodymyr Zelensky wa Ukraine,
 
Mimi ni kibenten wa mamaako namuheshimu mamaako tu
Mtoto wa kiume unavaa heleni kwenye masikio kuna nini hapo kama siyo 🌈 napoteza muda wangu bure kujadilana na machoko,
 
Mtoto wa kiume unavaa heleni kwenye masikio kuna nini hapo kama siyo 🌈 napoteza muda wangu bure kujadilana na machoko,
Makubaliano yangu na Mamaako ni mimi kuendelea kuwa kibenten wake usininunie mimi mnunie mamaako
 
Makubaliano yangu na Mamaako ni mimi kuendelea kuwa kibenten wake usininunie mimi mnunie mamaako
Wewe hata uongee nini muonekano tu ni shoga mtoto wa kiume unavaa heleni mashoga wengi wana maneno mengi sanq😅
 
Yani anawadharau kama ambavyo wao huwa wanatudharau. China tu ndiye the only one standing na umeona baada ya siku 90 kuisha bado kaongeza nyingine 90 kwa sababu China alikuwa na msimamo.
Hao viongozi wenyewe kwenye mikutano wanamwita dady. Sikuwahi fikiria kama kuna wazungu machawa promax.
 
Picha ya kutengenezwa. Ila ningefurahi kama ingekuwa ni kweli
 
Wewe hata uongee nini muonekano tu ni shoga mtoto wa kiume unavaa heleni mashoga wengi wana maneno mengi sanq😅
Siyo Heleni ni hereni acha kulegeza mdomo mbele ya wanaume au kipa katoka?
 
Siyo Heleni ni hereni acha kulegeza mdomo mbele ya wanaume au kipa katoka?
Wewe ndiyo mvaaji mimi tajua wapi wanaukumbi angalie Avatar ya huyu shoga kavaaa hereni kisha anajitapa mwanaume😆
 
Picha Za Akili Unde...Miguu Ni Mingi Kuliko Wahusika...Na Hii Akili Bandia Tusipokuwa Nayo Makini Tutalishwa Sana Matango Pori Kwa Sasa Teknolojia Imekuwa..Inabidi Nasi Tukue Nayo Lakini Kwa Umakini Mkubwa Mnoo..
 
Wewe unadai hayo mataifa ya Ulaya yanataka vita viendelee kusudi yauze silaha sasa Ukraine ina hela gani sasa hivi ya kununulia hizo silaha ghali na kwani toka Russia ianzishe hivyo vita nani anakudanganya kwamba Ukraine imekuwa ikinunua silaha.
 
Wameyataka,wacha wakomeshwe.
Wamejipanga utadhani wagonjwa wanasubiri kuingia kwa daktari kwa zamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…