Hiyo ni hulka ya Trump. Kwanza kawaheshimu sana mana sidhani kama aliwapeleka kwenye ile ofisi na kuwaponda kwamba hawaiwezi Urusi bila USA mbele ya waandishi wa habari!Wanaukumbi.
KILA BOSS ANA BOSS WAKE
Viongozi wa Ulaya wakiwa wamepangwa kwenye korido ya Whitehouse Marekani wakisubili kikao na Trump. Hi fedhea aisee Je wangekuwa wa Afrika watu wamgeponda sana lakini wa Ulaya dunia ipo kimya, mtu kama Putin, huu upuuzi hataki kabisa.
Trump, anawadharau sana viongozi wa Ulaya pamoja na kujifanya wanaendesha dunia.