Kwa nini Trump anawadharau sana viongozi wa Ulaya

Hiyo ni hulka ya Trump. Kwanza kawaheshimu sana mana sidhani kama aliwapeleka kwenye ile ofisi na kuwaponda kwamba hawaiwezi Urusi bila USA mbele ya waandishi wa habari!
 
Makron ana miguu minne? Au siku hizi macho yangu hayanihudumii vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…