Kwa nini tukio la mwezi kupasuka/kugawanyika vipande viwili lilionekana Mecca, Saudia tu?

watu walifufuliwa kwenye eneo liliokuwa localized na mashuhuda walilkuwepo issue ya mwezi ni universal lazima kuna watu mahala pengine wangeona.
Jambo la mwezi likitokea hata Tandahimba litawahusu hadi watu wa Bujumbura
Ki sayansi ni lazima, ki miujiza sio lazima waone wote..
 
Hahahahaha!! Duh bange mbaya sana.
 
Ki sayansi ni lazima, ki miujiza sio lazima waone wote..
Kwamba mwezi upasuke Tabora Kigoma wasione? Imagine karne ya kwanza kulikuwa na wataalam wa mwezi na nyota m(mamajusi).Sasa karne ya sita tunategemea advancement kubwa zaidi katika ilim ya anga na nyota,Hata kama ungekuwa muujiza ni lazima sehemu nyingine wangeona hii extraordinary event. imagine kupatwa kwa jua kunaonekana dunia nzi a,itakuwa kupasuka kwa mwezi kweli kusiripotiwe mahala popote? kweli huu ni muujiza.
lakini muujiza huu umekuwa ascribed kwa Muhammad baada ya kifo chake lakini yeye mwenyewe alisema hana uwezo wa kufanya muujiza
 
Kwani mwezi wa Macca ndio sawa na huu wa kwetu?
 
Hizi zilikuwa hadithi tu wamba walikuwa wanasimuliana (kama zile sungura na fisi) sema tu watu wakachukulia serious
Harafu wakatengeneza picha wakaisambaza duniani kote..................................................................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…