ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Hii una experience nayo mkuu?Kwanza kongole sana Shesrise mada fikirishi kama kawaida yako
Hili swala hata mimi binafsi huwa najiulizaga sana,kwanini huwa unaweza kukutana na mtu mkajikuta mnakuwa na chemistry flani hivi hata hujui imetokea wapi? Mnafeel comfortable to each other kana kwamba mmejuana zamani
Ukijiuliza hupati majibu,yani huwa inatokea tu
Na hapa pia una experience mkuu ilikuaje yaani?Kwanza kongole sana Shesrise mada fikirishi kama kawaida yako
Na mtu wa pili unakutana nae halafu unajikuta wala humkubali wala nini,na mind you hamjuani labda ashakufanyia ubaya kipindi flani,lakini kuna kitu kama kina kuambia huyu sio
Nina experience na hii kitu tena sio mara moja au mbili ni mara nyingi tuHii una experience nayo mkuu?
Yaani unakutana na mtu unajikuta upo active kama mnafahamiana kwa muda mrefu na unahisi amani na huyo mtu
Hivi ni kweli hakuna sababu?
Na hapa pia una experience mkuu ilikuaje yaani?
Ni sahihi kabisa wakati mwingine unaweza kumchukia mtu kwakuwa tu uliambiwa mambo mabaya kuhusu yeyeKuna kitu kinaitwa hisia
Kupitia hisia, unaweza kumchukia mtu na wakati mwingine kumpenda
Wanawake wanaweza wanaangalia filamu na kujikuta wanampenda mwigizaji fulani kupitia scene aliyofanya
Wakati mwingine kumchukia mwingine kwakuwa scene yake haijawavutia
Wengine huwa wanamchukia mtu kutokana na maneno ya kuambiwa/kusikia
Mathalani kupitia Siasa, Kuna watu wamejengwa kumchukia Tundu Lissu na wengine kumchukia Edward Lowassa
Hii hata kwenye familia, mtoto anaweza kurithi chuki za Mama yake dhidi ya baba yake
Kwamba nilipokulea wewe, baba yako hakuwajibika hata kidogo yeye alikuwa busy na michepuko
Mtoto unakuwa na kuibeba chuki hii then unaihamishia kwa baba yako
N.k n.k
Hahahaaa
Sipingi mawazo yako,lakini hapa kumbuka hamfahamiani na mtu,maana mkianza kufahamiana ndio Kuna mambo utayajua labda kupitia vitendo vyake au maneno yakeHapo kwenye kumchukia mtu bila sababu, sababu ipo ila mhusika anajua ni sababu ya kifala ndo mana anashindwa kuisema mana ataonekana Ana matatizo ya akili
Hapo kichwa imepata moto hatar🤣🤣🤣Hahahaaa
Great thinker.... Mpaka mishipa ina kakamaa
Je mkuu umewahi kufikiria kwanini inakuwa hivi?Hata mimi hua inatokea tu...
Kwamba Unakutana na mtu kwa mara ya kwanza, hujui chcht khs yeye na kuanza kumchukia?Sipingi mawazo yako,lakini hapa kumbuka hamfahamiani na mtu,maana mkianza kufahamiana ndio Kuna mambo utayajua labda kupitia vitendo vyake au maneno yake
Ila hapa ni kama ile tu unakutana na mtu kwa mara ya kwanza lakini hisia zako chap tu zinakwambia huyu mtu mbona kama sie vile
Yeah,sio chuki,chuki huja baada ya kufanyiwa ubaya au matendo ambayo yana kukwaza,hapa kusema ni chuki sio sawaKwamba Unakutana na mtu kwa mara ya kwanza, hujui chcht khs yeye na kuanza kumchukia?
Hii n mpya kwangu.
Tuachane na mademu.Yeah,sio chuki,chuki huja baada ya kufanyiwa ubaya au matendo ambayo yana kukwaza,hapa kusema ni chuki sio sawa
Yani unakuwa kuna kitu kama kinakwambia huyu mtu sio,na mwingine kuna hisia unapata kwamba huyu yupo poa
Ni kama ile feeling unayopata mara tu ukimwona Shori unayemkubali,ukimwona tu paap kuna hisia inakuja "kwamba huyu demu nimemuelewa"