Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Kuna mtazamo mmoja wa kiimani ambao binafsi naona kama unanipa au unanishawishi walau kuona kuna uhusiano ambao mtoa mada amejaribu kuuelezea
Sio lazima kila mtu auelewe,ila binafsi kama unanishawishi kwa hiki tunachokizungumzia
inasemwa baada ya kuumbwa, Mwenyezi Mungu alizikusanya roho zote sehemu moja na kuziuliza
"Je mimi sie Mola wenu?"
Nafsi zikajibu "wewe ni mola wetu"
Sitaki kuingia ndani huko,ila inasemwa zile roho ambazo zilikuwa zipo pamoja kipindi kile ni kama zinajuana, kwahiyo baada ya kukutana hapa duniani zipo familia ndio maana kuna vibration flani zinaclick pamoja na zile ambazo hazifahamiani basi ndio zinakuwa na umbali flani hivi kwakuwa ni kama ngeni miongoni mwao
Kwa kuongezea binafsi naona hiki tunachofikiri kwa mtu kwa mara ya kwanza kipo nje ya maamuzi yetu,ni kama siri ambayo ipo ndani yetu ambayo bado hatuja ijua,na ipo nje ya uwezo wetu kuifahamu