Dah! Kumbe shida ni kubwa zaidi. Tafuta Biblia yenye vitabu 73 utakiona kitabu cha 2 Makabayo
Nimekusoma mkuu,nakua nafikili sana jambo hili na tena wafanyao haya ni wale wale tunaowaona wanaingia kwenye nyumba za ibada kila mala,mizimu ni kitu gani?na kama ni wafu nini kinachofanya kazi kwao juu walio hai,iweje babu wa babu alikua mzinzi,mlevi,mchawi na kila aina ya dhambi na mtu anajua lakini anaenda kumuomba makaburini amsaidie,napata shida hapa labda nielimishwe vyema
ni wazi ya kua MUNGU ni mwenye huruma na upendo na anasikiliza maombi yetu,nasi tumemjua MUNGU kwa kupitia vitabu vyake vitakatifu,kwa upande wetu tumemjua MUNGU kwa Biblia takatifu,na katika Biblia hio tumeambiwa kila kilichoandikwa kule kimetoka kwa MUNGU na kimeakikishwa na kinatufaa sisi katika mafundisho,, katika Biblia takatifu kitabu cha wamakabayo 12;38-45 ukisoma kwa makini na kwa minajili ya kuelewa hautakuwa na sababu ya kuwa na shaka kumuambea marehemu msamaha kwa MUNGU kwa yale alioyafanya yalio kinyume na mapenzi yake MUNGU kama alivyofanya huyo Yuda katika kitabuhicho cha wamakabayo,na kusauri G'taxi ukakisome kwa vyovyote vile kitafute katika Biblia ile iliokamilifu na sio ile yenye vitabu pungufu. kila la heri ndugu.

Hakuna shida ukiwaomba wafu waliokufa katika hali ya neema....
Ngoja nilale kwanza kisha nitarudi kuchangia hii mada...
By the time ngoja niwaite akina Ntuzu, Mkuu wa chuo, Ablessed, Barnabas Shadrack, Blue G hippocratessocrates na wengineo waendelee na mjadala huu....
Hii Ibada ya kuombea wafu, naona Utingo ameelezea kwa uzuri, Ukiliangalia hili andiko la Waebrania linasema baada ya kufa ni hukumu, sasa hii ya kuombea wafu ili kuwaondolea dhambi sijui imekaaje
Waebrania 9:27 Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
Mkuu unasemaje juu ya mamlaka ya kufunga na kufungua? Pia naomba unisaidie iwapo mtu ameishi maisha yake ya uchaji wa Mungu kikamilifu na ikatokea wakati anakufa alikua na hasira au hakuweza kumsamehe mtu flani, je mtu huyo ataenda jehanamu? Mimi naamini kuwa nikiwaombea wafu Mungu aweza kuwasamehe hasa nikiomba kwa imani. Kama tujuavyo kwa wale waamini kuwa Mungu bado huonyesha maono so ukisoma wamakabayo utaona wenzetu walivyofanya. Na kwa upande mwingne ukiangalia agano jipya halijatuwekea limit ya maombi hasa inaposema ombeni jambo lolote kwa jina langu ........ na hata sasa hamjaomba ombeni ili furaha yenu iwe timilifu. Je Mungu anajicontradict mwenyewe au wewe nini maoni yako juu ya haya.Hii Ibada ya kuombea wafu, naona Utingo ameelezea kwa uzuri, Ukiliangalia hili andiko la Waebrania linasema baada ya kufa ni hukumu, sasa hii ya kuombea wafu ili kuwaondolea dhambi sijui imekaaje
Waebrania 9:27 Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
Mkuu unasemaje juu ya mamlaka ya kufunga na kufungua? Pia naomba unisaidie iwapo mtu ameishi maisha yake ya uchaji wa Mungu kikamilifu na ikatokea wakati anakufa alikua na hasira au hakuweza kumsamehe mtu flani, je mtu huyo ataenda jehanamu? Mimi naamini kuwa nikiwaombea wafu Mungu aweza kuwasamehe hasa nikiomba kwa imani. Kama tujuavyo kwa wale waamini kuwa Mungu bado huonyesha maono so ukisoma wamakabayo utaona wenzetu walivyofanya. Na kwa upande mwingne ukiangalia agano jipya halijatuwekea limit ya maombi hasa inaposema ombeni jambo lolote kwa jina langu ........ na hata sasa hamjaomba ombeni ili furaha yenu iwe timilifu. Je Mungu anajicontradict mwenyewe au wewe nini maoni yako juu ya haya.
Kumbuka: Hautahesabiwa dhambi usipowaombea wafu amani iamue moyoni mwako ikiwa waona sawa basi fanya ikiwa waona si sawa acha usiwaombee . Ni vema ukaishi maisha yako kikamilifu kwani tumeambiwa amani iamue moyoni mwetu , naamini nawe unae huyo mfalme wa amani. Mungu akubariki tuazidi kuichuchumilia taji na kupiga vita vya imani kwa imani thabiti

Mkuu unaongelea haya maandiko ama!?Mkuu unasemaje juu ya mamlaka ya kufunga na kufungua?
Hili mkuu lipo katika case ya kuhukumu ambayo siyo kazi yangu...Pia naomba unisaidie iwapo mtu ameishi maisha yake ya uchaji wa Mungu kikamilifu na ikatokea wakati anakufa alikua na hasira au hakuweza kumsamehe mtu flani, je mtu huyo ataenda jehanamu?
Labda hapa ningependa kujua unawaombea wafu ya kwamba ili wasamehewe dhambi wapate kuurithi uzima wa milele au!? Lakini principle ya uzima wa milele ni hiiMimi naamini kuwa nikiwaombea wafu Mungu aweza kuwasamehe hasa nikiomba kwa imani. Kama tujuavyo kwa wale waamini kuwa Mungu bado huonyesha maono so ukisoma wamakabayo utaona wenzetu walivyofanya. Na kwa upande mwingne ukiangalia agano jipya halijatuwekea limit ya maombi hasa inaposema ombeni jambo lolote kwa jina langu ........ na hata sasa hamjaomba ombeni ili furaha yenu iwe timilifu. Je Mungu anajicontradict mwenyewe au wewe nini maoni yako juu ya haya.
Ubarikiwe pia mkuu, lakini hii ni sawa umelima shamba wakati wa mavuno nakuja mimi halafu naanza kukupangia haya weka ghalani haya nenda kauze, haya mahindi weka ya kuchoma, nadhani sitokuwa nimefanya kosa ila wewe ndio utaamua uchukue mawazo yangu ninayokung'ang'aniza au ufanye kama ulivyopanga mwenyewe, na mimi sitokulaumu kwanini hujanifuatiliza mimi...Kumbuka: Hautahesabiwa dhambi usipowaombea wafu amani iamue moyoni mwako ikiwa waona sawa basi fanya ikiwa waona si sawa acha usiwaombee . Ni vema ukaishi maisha yako kikamilifu kwani tumeambiwa amani iamue moyoni mwetu , naamini nawe unae huyo mfalme wa amani. Mungu akubariki tuazidi kuichuchumilia taji na kupiga vita vya imani kwa imani thabiti
Kwa ufupi tu:Nimekua najiuliza ni kwa nini mala nyingi hasa mwisho wa mwaka utasikia watu wengi wanakimbia majumbani mwao hasa vijijini na lengo ni kwenda kuwaombea ndugu walioishatangulia kwa maana ya kufa.
Wanaenda mbali na kupeleka maombi yao juu ya maisha yanayowazunguka kwa hao waliokufa,ni kweli kuna maana yoyote au kuna ulazima wa kufanya hili?kama ni kweli MUNGU tunaemuabudu na kuamini kua yupo na ndiyo alietuumba anapata nafasi ipi iwapo tutafikia kupeleka shida zetu kwa wafu?
kuanzia mleta mada na wote waliochangia kwa mtazamo pingamizi mnachotakiwa ni kujitafakari kama mna Roho wa Mungu wakati mnapo ya tafsiri maandiko matakatifu, sio kwa kufuata hisia zenu au mitazamo yenu mkajua ndivyo ilivyo, kumbukeni ya kuwa MUNGU ni mwenye huruma na upendo na hugairi hasira yake.kama mimi kwa imani ni tamuomba MUNGU kwa jina la YESU KRISTO ya kua kipindi kile atakaporudi BWANA marehemu baba yangu au mama yangu au mkristo mwenzangu nae akawe miongoni mwa wale wakumlaki BWANA, kwa kua nae aliamini kuwa KRISTO ni BWANA na akabatizwa katika maji na Roho,pale aliposhindwa kutimiza wajibu wake kwa namna yoyote basi kwa sadaka hii ya Misa takatifu akasamehewe. hapo mimi nitakuwa na kosa gani,ni wapi nilipomuomba huyo aliekufa au nivipi labda nimefanya matambiko kwa mzimu? kumbukeni MUNGU hughairi mabaya na humsikiliza yule amuombae kwa imani na pia mkijua ya kua huyo aliekufa hawezi kuomba tena sasa kuna ubaya gani mimi nilie hai nikimuombea? JITAFAKARINI JE MNA ROHO WA MUNGU?.
Sasa nimeielewa mada kumbe inazungumzia ibada ya matambiko na vitu kama hivyo basi si sawa/ibada hii si sahihi.Ndugu pendael usijedhani unasoma uzi na michango ya wasiyomjua MUNGU..ibaya ya kuombea wafu na kutambika kwa wafu wakutatulie matatizo yako panamashaka makubwa kukubalika kwake,kama tu kumtegemea mwanadamu ni laana leo iwe mtu alieishatangulia mauti?
Mkuu umeelezea vema , hapo kwenye kipengele cha Roho Mtakatifu nafikiri karibu wote wanae Roho wa Bwana shida ipo kwenye tofauti zetu za madhehebu . Na kwa jinsi hii hatutaweza kufikia muafaka.kuanzia mleta mada na wote waliochangia kwa mtazamo pingamizi mnachotakiwa ni kujitafakari kama mna Roho wa Mungu wakati mnapo ya tafsiri maandiko matakatifu, sio kwa kufuata hisia zenu au mitazamo yenu mkajua ndivyo ilivyo, kumbukeni ya kuwa MUNGU ni mwenye huruma na upendo na hugairi hasira yake.kama mimi kwa imani ni tamuomba MUNGU kwa jina la YESU KRISTO ya kua kipindi kile atakaporudi BWANA marehemu baba yangu au mama yangu au mkristo mwenzangu nae akawe miongoni mwa wale wakumlaki BWANA, kwa kua nae aliamini kuwa KRISTO ni BWANA na akabatizwa katika maji na Roho,pale aliposhindwa kutimiza wajibu wake kwa namna yoyote basi kwa sadaka hii ya Misa takatifu akasamehewe. hapo mimi nitakuwa na kosa gani,ni wapi nilipomuomba huyo aliekufa au nivipi labda nimefanya matambiko kwa mzimu? kumbukeni MUNGU hughairi mabaya na humsikiliza yule amuombae kwa imani na pia mkijua ya kua huyo aliekufa hawezi kuomba tena sasa kuna ubaya gani mimi nilie hai nikimuombea? JITAFAKARINI JE MNA ROHO WA MUNGU?.
Mkuu umeelezea vema , hapo kwenye kipengele cha Roho Mtakatifu nafikiri karibu wote wanae Roho wa Bwana shida ipo kwenye tofauti zetu za madhehebu . Na kwa jinsi hii hatutaweza kufikia muafaka.