Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi wana maendelea makubwa sana, mno, smUrusi ni nchi kubwa sana kuleta maendeleo ni ngumu sana na hata hivyo wamejitahidi sana
Video fupi
View attachment 3177155
Je, pia ni sababu kwa nini nchi nyingine zenye rasilimali ni masikini wa kutupwa ?
Urusi hakupaswa awepo alipo.
Mjibu kwanza kuhusu Urusi. Hayo ya taifa lako yaletee sridi.Nchi Yako na Urusi ipi tajiri?
Hujawahi hata kufika huko Urusi unaleta habari za kusikia?
Taifa lako maskini mmekalia kusifu wanasiasa unaijadili Urusi! Serious?
Yelstin unamfahamu ?Alipokuwa anasema maneno haya , hakuna mrusi alikuwa akilala nje wala kuwa na madeni benki , wala kulala na njaa. Leo West waulize hali ilivyo na bei za huduma muhimu.Wala usije ukaumwa , umejinyea, kutibu meno ndio haisemeki , ni tofauti na huko Urusi au nchi za Eastern
sana tu hata kabla yake Gorbachev namfahamu vizuri tuYelstin unamfahamu ?
Nchi zote haziwezi kulingana.China,Marekani ni nchi ndogo ?
Wapi nimesema Urusi masikini ?Nchi imerusha satellite 1958 kabla hata ya US unasema ni masikini, hawa wazungu ukisikiliza maneno yao ni waongo mno.
Wao na utajiri walionao wanachangishana EU na US yote kumsaidia Ukraine apambane na Russia.
Hahiitaji vyombo vyao vya habari kujua katika mataifa makubwa kiuchumi kwa sasa duniani top Urusi hayupo pamoja na rundo la Rasilimali iliyo nazo.
Huyo uingereza ana nini ambacho urusi hakuna, au maendeleo lazima uishi kiingreza?Video fupi
View attachment 3177155
Je, pia ni sababu kwa nini nchi nyingine zenye rasilimali ni masikini wa kutupwa ?
Wapi nimesema Urusi masikini ?
Nachosema Rasilimali alizonazo Russia hakupaswa kuwa pale alipo.
Huu ni ukweli ukiwa na akili timamu utakili kuna jambo halipo sawa ndani ya Russia
Wewe kabisa hujasoma elimu dunia uko kwenye elimu nyingine ya kufikirika. Hivi kutengeneza makombora hayo ya kasi kubwa ndio maendeleo..!!!We mbumbumbu kweli.
Urusi inayotengeneza Hypersonic missiles, wafikiri zinatoka store ya babu yako?
Hakuna mahali nimesema Russia masikini.Si hawamtaki tu , urusi ni nchi yenye minerals zote unazozijuwa wewe kwenye Chemistry pamoja na mafuta na gesi ,na viwanda , utasema ni masikini ??