baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Size ni Sababu kubwa mkuu.Urusi hakupaswa awepo alipo.
Lets Take Example Moscow, Gdp per capita ni $32,000 ama St Petersburg gdp per capita ni $29,000, hio ni respectable figure hasa kwa Nchi kama Urusi ambayo Gharama za Maisha ni ndogo mno. In short mtu anayekuja Earn $32,000 Urusi kuimaliza hio hela ni ufanye tu Kufuru mwenyewe, Chuo kikubwa Urusi st Petersburg Ada unakuta $5000 kwa mwaka, unaweza kwenda hotel na $8 ukala ukashiba.
So Urusi ingekua ni part ya Ulaya tu basi tungekuwa tunaimba walivyo matajiri. Ila part nyengine za Nchi maeneo kama ya Far east ama Siberia ni mbali mno, just Imagine unatoka mkoa hadi mkoa ni kilomita 9000 yaani unaenda mwanza mara 9, unaunganishaje hapo kwa barabara na reli za kutosha?