Kwa nini viongozi wa Africa hawafanyi rehearsal ya speech zao kabla ya kwenda public?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Hivi sisi waafrica nani aliyeturoga kiasi ambacho hata viongozi hawajui ofisini wanafanya nini ilimradi tu siku ziende.

Hebu angalia kauki ya juzi ya pm eti wenye digrii waende VETA. Kwa nchi ambaso ziko serious angefurushwa uwaziri mkuu palepale au kujiudhuru mwnyewe.

Waziri mkuu unayesimamoa serikali unasema kwamba elimu tanzania kwamba haifai tena ni bora mbumbumbu tu kuliko degree na bado uko ofisini kweli.

Watu wanakeaha wanasoma ili kuhangaikia kupata div one halafu waziri mkuu unakuja na ngojera kwamba elimi ni nothing.

Kweli African kuna tatizo. Bora wazungu warudi kutuwala tu.
 
Overconfidence.
 
tatizo liko wapi hapo kwenye ushauri na mawaidha hayo mujarabu ya waziri mkuu mh.Kasim Majaliwa dhidi wa wasaka ajira graduates wanaozurura tu huko mtaani?

hiyo ni fursa kwao kwenda kupata ujuzi ili hatimae kujikwamua na kujiondoa kwenye unyonge wa kiuchmi wanaopitia kwa sasa wakiwa na makaratasi ya digrii bila ya kua na ujuzi wowote 🐒
 
Sasa kama na wewe ni msomi na hujui kuandika kwa ufasaha basi, PM Majaliwa yupo sawa.

Lakini iwapo ni msomi na hujui mapungufu ya mfumo wa elimu wa zamani (kuna mpya) basi wewe umevuka kiwango cha ujinga na sasa ni mpumbavu na ulicheza na ada.

Mimi nina degree, veta nimeenda na imenisaidia.
 
Sasa kama na wewe ni msomi na hujui kuandika kwa ufasaha basi, PM Majaliwa yupo sawa.

Lakini iwapo ni msomi na hujui mapungufu ya mfumo wa elimu wa zamani (Kuna mpya) basi wewe umevuka kiwango cha ujinga na sasa ni mpumbavu na ulicheza na ada.

Mimi nina degree na veta nimeenda na imenisaidia.
Hakuna mwenye div one ya tatu aanawaza kwenda veta. Veta ipo kwa failures wa div four au zero. Hata mtoto wa majaliwa hawezi kwenda veta
 
Form 4 nina II.22; form six nina I.7 na VETA nilienda
 
Umebugi. Huwezi kutoka huko trna till death. Utajiri utausikia kwenye radio. Ndo mana hakuna mtoto wa waziri anayeenda huko mana ni kujimaliza
 
Nimenunua viwanja viwili, SHAMBA ekari mbili, nimeanza ujenzi, nimenunua bajaji, ninasomesha, na nina familia.

Sasa unataka niwe tajiri zaidi ya wapi?

Kwa akili zako hizi shule ulienda kusomea nini?
 
Acha fix sasa dogo. Mimi siyo mtoto mwnzio. Unasikia bwana mdogo
 
Hivi sisi waafrica nani aliyeturoga kiasi ambacho hata viongozi hawajui ofisini wanafanya nini ilimradi tu siku ziende.

Hebu angalia kauli ya juzi ya pm eti wenye digrii waende VETA. Kwa nchi ambaso ziko serious angefurushwa uwaziri mkuu palepale au kujiudhuru mwnyewe.

Waziri mkuu unayesimamoa serikali unasema kwamba elimu tanzania kwamba haifai tena ni bora mbumbumbu tu kuliko degree na bado uko ofisini kweli.

Watu wanakeaha wanasoma ili kuhangaikia kupata div one halafu waziri mkuu unakuja na ngojera kwamba elimi ni nothing.

Kweli African kuna tatizo. Bora wazungu warudi kutuwala tu.

Mkuu,

Labda sema Tanzania. Rais William Ruto wa Kenya alivyoenda Marekani alitoa hotuba bila kusoma wala kutumia teleprompter, aliikariri ile hotuba.

Alichosema Waziri Mkuu si kitu kipya. Rais Nyerere alishawahi kusema hiki. Aung San Suu Kyi wa Myanmar alishawahi kusema hiki.
VETA si mbumbumbu. Kwa nini unasema Waziri Mkuu kasema bora mbumbumbu?

Tatizo ni delivery ya Majaliwa ni mbovu.

Soma hapa.

"Daw Aung San Suu Kyi urged youth to “open their eyes and ears for more opportunities” and to develop the capacity to handle many other jobs.” The State Counsellor promoted vocational education, telling the public in Kalay that university education and vocational training are equally important, and that her government is doing its best to reduce unemployment."
 
Back
Top Bottom