Overconfidence.Hivi sisi waafrica nani aliyeturoga kiasi ambacho hata viongozi hawajui ofisini wanafanya nini ilimradi tu siku ziende.
Hebu angalia kauki ya juzi ya pm eti wenye digrii waende VETA. Kwa nchi ambaso ziko serious angefurushwa uwaziri mkuu palepale au kujiudhuru mwnyewe.
Waziri mkuu unayesimamoa serikali unasema kwamba elimu tanzania kwamba haifai tena ni bora mbumbumbu tu kuliko degree na bado uko ofisini kweli.
Watu wanakeaha wanasoma ili kuhangaikia kupata div one halafu waziri mkuu unakuja na ngojera kwamba elimi ni nothing.
Kweli African kuna tatizo. Bora wazungu warudi kutuwala tu.
tatizo liko wapi hapo kwenye ushauri na mawaidha hayo mujarabu ya waziri mkuu mh.Kasim Majaliwa dhidi wa wasaka ajira graduates wanaozurura tu huko mtaani?Hivi sisi waafrica nani aliyeturoga kiasi ambacho hata viongozi hawajui ofisini wanafanya nini ilimradi tu siku ziende.
Hebu angalia kauki ya juzi ya pm eti wenye digrii waende VETA. Kwa nchi ambaso ziko serious angefurushwa uwaziri mkuu palepale au kujiudhuru mwnyewe.
Waziri mkuu unayesimamoa serikali unasema kwamba elimu tanzania kwamba haifai tena ni bora mbumbumbu tu kuliko degree na bado uko ofisini kweli.
Watu wanakeaha wanasoma ili kuhangaikia kupata div one halafu waziri mkuu unakuja na ngojera kwamba elimi ni nothing.
Kweli African kuna tatizo. Bora wazungu warudi kutuwala tu.
Hakuna mwenye div one ya tatu aanawaza kwenda veta. Veta ipo kwa failures wa div four au zero. Hata mtoto wa majaliwa hawezi kwenda vetaSasa kama na wewe ni msomi na hujui kuandika kwa ufasaha basi, PM Majaliwa yupo sawa.
Lakini iwapo ni msomi na hujui mapungufu ya mfumo wa elimu wa zamani (Kuna mpya) basi wewe umevuka kiwango cha ujinga na sasa ni mpumbavu na ulicheza na ada.
Mimi nina degree na veta nimeenda na imenisaidia.
Hakuna mwenye div one ya tatu aanawaza kwenda veta. Veta ipo kwa failures wa div four au zero. Hata mtoto wa majaliwa hawezi kwenda veta
Umebugi. Huwezi kutoka huko trna till death. Utajiri utausikia kwenye radio. Ndo mana hakuna mtoto wa waziri anayeenda huko mana ni kujimalizaForm 4 nina II.22; form six nina I.7 na VETA nilienda
Nimenunua viwanja viwili, SHAMBA ekari mbili, nimeanza ujenzi, nimenunua bajaji, ninasomesha, na nina familia.Umebugi. Huwezi kutoka huko trna till death. Utajiri utausikia kwenye radio. Ndo mana hakuna mtoto wa waziri anayeenda huko mana ni kujimaliza
Acha fix sasa dogo. Mimi siyo mtoto mwnzio. Unasikia bwana mdogoNimenunua viwanja viwili, SHAMBA ekari mbili, nimeanza ujenzi, nimenunua bajaji, ninasomesha, na nina familia.
Sasa unataka niwe tajiri zaidi ya wapi?
Kwa akili zako hizi shule ulienda kusomea nini?
Acha fix sasa dogo. Mimi siyo mtoto mwnzio. Unasikia bwana mdogo
Kwa hiyo kwako VETA ndo priority? Ulienda kupoteza mda wa nini kusoma degre sasa. Acha kuongea ujingaNina miaka 38 mpuuzi wa 2000 wewe
Hivi sisi waafrica nani aliyeturoga kiasi ambacho hata viongozi hawajui ofisini wanafanya nini ilimradi tu siku ziende.
Hebu angalia kauli ya juzi ya pm eti wenye digrii waende VETA. Kwa nchi ambaso ziko serious angefurushwa uwaziri mkuu palepale au kujiudhuru mwnyewe.
Waziri mkuu unayesimamoa serikali unasema kwamba elimu tanzania kwamba haifai tena ni bora mbumbumbu tu kuliko degree na bado uko ofisini kweli.
Watu wanakeaha wanasoma ili kuhangaikia kupata div one halafu waziri mkuu unakuja na ngojera kwamba elimi ni nothing.
Kweli African kuna tatizo. Bora wazungu warudi kutuwala tu.
Kwa hiyo kwako VETA ndo priority? Ulienda kupoteza mda wa nini kusoma degre sasa. Acha kuongea ujinga