Kwa nini Waafrica hawatumii majina ya Kirusi

Kwa nini Waafrica hawatumii majina ya Kirusi

Urusi hana ushawishi (influence) kubwa Africa
Ushabiki maandazi wa mtandaoni ni tofauti na ushawishi.

Ushawishi ni mambo ya kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa
Siasa za Urusi zina influence gani kwa Africa? Utamaduni wa Urusi( kama muziki, movies, ligi na michezo) vina influence gani Africa?
Urusi ina uwekezaji mkubwa Africa, au ina export au import kubwa Africa?

Afdhali China ana ushawishi mkubwa wa kiuchumi lakini ushawishi wa kiutamaduni hana

Sasa kama vitu vyote hana, majina yatafananaje?
Maelezo meeengi lakini point ni moja tu. Afrika ni ombaomba. Hayo uliyotaja sijui uchumi kijamii n.k ni sababu ya upumbavu wa waafrika ndio maana mataifa yasiyokuwa na maslahi nasi tunayaona hayana influence kwasababu hawajazi mabakuli yetu
 
Kwa nini pamoja na umaarufu na ushawashi mkubwa wa Urusi kwa Africa kwa miongo mingi Waafrika bado hawatumii kabisa majina ya Warusi?
Wangetutawala ungeshuhudia majina yao,
Ukisikia mohamed ujue pana muarabu,
Ukisikia Johnson ujue kuna mwingereza,
Waafrika ni ugimbwa,nachonde,sururu,mwakibete n.k.
 
Vipo vitu mfano, kwanza hawakuwa na makoloni hapa barani, ijapokuwa walikuwa na ushawishi mdogo kipindi Cha Umoja wa nchi za kisoviet especially cold war lakini ilikuwa ni post 1950's kuelekea 1960's so unaona kabisa ilikuwa ni ngumu kidogo watu ku adapt their Slavic naming system, pia sidhani kama walikuwa na a great number of explorer, missionaries etc, so naona hizi sababu zinaweza kuwa zilichangia wazee wetu kutokuwa baptized na Slavic name, kwa kuwa prior to Lenin and Bolshevik overthrow of Tsar government, Russia was one of the poorest and least developed among European power, so their influence was so minimal
 
Kwa nini pamoja na umaarufu na ushawashi mkubwa wa Urusi kwa Africa kwa miongo mingi Waafrika bado hawatumii kabisa majina ya Warusi?
Nenda MBINGA mkoani RUVUMA utawakuta akina DMITRI wengi sana. Hata akina Ditric wapo pia.
 
Kwa nini pamoja na umaarufu na ushawashi mkubwa wa Urusi kwa Africa kwa miongo mingi Waafrika bado hawatumii kabisa majina ya Warusi?
Kwasababu waafrika sio warusi. Its simple as that.
 
Kwa nini pamoja na umaarufu na ushawashi mkubwa wa Urusi kwa Africa kwa miongo mingi Waafrika bado hawatumii kabisa majina ya Warusi?


Majina yamejengeka kwenye msingi wa kiimani. USSR ilizuia masuala ya dini nchini mwake kama ilivyokuwa China, sasa mtu akachague jina la kirusi kwa msingi gani?
 
Back
Top Bottom