Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Majina ya kirusi ni mazuri kwa sababu ayana taswira za dhana potovu ya majina tunayo tumia sasa ya mabeberu na waarabu nyenye kuleta udini na unafiki na ushogaHayo mepesi kutamka
Majina ya kirusi ni mazuri kwa sababu ayana taswira za dhana potovu ya majina tunayo tumia sasa ya mabeberu na waarabu nyenye kuleta udini na unafiki na ushogaHayo mepesi kutamka
Majina ya kigeni tunayotumia yanatokana na influence ya siku nyingi ya dini pamoja na utaduni wa hayo mataifa. Ukienda Msumbiji utakuta majina ya kireno, Burundi au nchi zilizotawaliwa na wafaransa nako utakuta majina ya kifaransa.Wapo wengi wanaitwa haya majina huku Afrika
Nikita
Yuri Sawa na George
Anastasia hili linaeleweka
Alexia hili pia
Ivan au John kwa kimombo
mjuba unataka kusema hawa watoto wetu kina brown, brian, brayson, graceous, goodluck, mwajuma, mwanahamisi, ni majina ya israel na saudia? Mbona sijawahi kuona msaudia akiitwa mwajuma, au muisraeli akiitwa goodluck?Kila lilipo kanisa au Msikiti Ni koloni la Israel au Saudi Arabia.
Viongozi wa dini hizo ndiyo gavana wa hizo nchi.
Ushoga ni hali ya kuzaliwa na ilikuwepo hata kabla wazungu hawajaja ila sisi kwa unafiki wetu tunafanya kifichoni.Majina ya kirusi ni mazuri kwa sababu ayana taswira za dhana potovu ya majina tunayo tumia sasa ya mabeberu na waarabu nyenye kuleta udini na unafiki na ushoga
Vietnam walitawaliwa na Ufaransa ila hawatumii majina ya KifaransaMajina ya kigeni tunayotumia yanatokana na influence ya siku nyingi ya dini pamoja na utaduni wa hayo mataifa. Ukienda Msumbiji utakuta majina ya kireno, Burundi au nchi zilizotawaliwa na wafaransa nako utakuta majina ya kifaransa.
Mbona wanatumia ya kiarabu na kiingereza.Kwasababu waafrika sio warusi. Its simple as that.
Hii inaitwa back to back 😂😂Nitajie makoloni ya Israel au Saudi Arabia barani Africa
Umemtusua ngumi ya jichoNitajie makoloni ya Israel au Saudi Arabia barani Africa
Vladmir Prlovilostovin virlylinvovMfano wa majina yao?
Ushoga siyo hali ya kuzaliwa....tumia akili mtu anaweza kuzaliwa na hali yoyote na asiwe shoga ...ushoga ni tendo la kufanya ngono jinsia moja au mwanaume kulidhia kuingiliwa na mwanaume mwenzio kwa hiari yako ...maana yake hata kama mtoto wa kiume atazaliwa na homoni nyingi za kike huyo siyo shoga hadi aanze kuingiliwa kama mwanamke ...hiyo tofautisha hayo mambo ...pia mtu mwanaume yoyote anaweza kugeuzwa shoga hata kama hana matatizo ya kuzaliwa na viambata vingi vya kike ...mfano kuna mashoga wanafanyika mashoga magerezani unakuta mtu mwanaume kamili kafungwa jela akiwa na miaka 45 ana watoto hata 6 ila anakuja kuwa shoga kutokana na yaliyo mkuta jelaUshoga ni hali ya kuzaliwa na ilikuwepo hata kabla wazungu hawajaja ila sisi kwa unafiki wetu tunafanya kifichoni.
Hii response yako haina uhusiano na ulichouliza. Nchi nyingi za Asia hazikuwa affected na utamaduni wa West. Siyo majina tu ila hata mila na desturi. Kuna sababu nyingi zilizofanya hili litokee. Ila ukweli unabaki pale pale, hatutumii majina ya kirusi kwa sababu hatukutawaliwa na Urusi.Vietnam walitawaliwa na Ufaransa ila hawatumii majina ya Kifaransa
Chin Ping Wong weusi wangapi unawajua Tz?Urusi hana ushawishi (influence) kubwa Africa
Ushabiki maandazi wa mtandaoni ni tofauti na ushawishi.
Ushawishi ni mambo ya kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa
Siasa za Urusi zina influence gani kwa Africa? Utamaduni wa Urusi( kama muziki, movies, ligi na michezo) vina influence gani Africa?
Urusi ina uwekezaji mkubwa Africa, au ina export au import kubwa Africa?
Afdhali China ana ushawishi mkubwa wa kiuchumi lakini ushawishi wa kiutamaduni hana
Sasa kama vitu vyote hana, majina yatafananaje?
Nimesoma maneno uliyotumia kama ''kulidhia'', ''hiali'', nikaweza ku-predict kitu nitakachokutana nacho kwenye hoja yako. Anyway, ningependa zaidi nijadili na mtu mwenye deep understanding na exposure kwenye hili suala.Ushoga siyo hali ya kuzaliwa....tumia akili mtu anaweza kuzaliwa na hali yoyote na asiwe shoga ...ushoga ni tendo la kufanya ngono jinsia moja au mwanaume kulidhia kuingiliwa na mwanaume mwenzio kwa hiali yako ...maana yake hata kama mtoto wa kiume atazaliwa na homoni nyingi za kike huyo siyo shoga hadi aanze kuingiliwa kama mwanamke ...hiyo tofautisha hayo mambo ...pia mtu mwanaume yoyote anaweza kugeuzwa shoga hata kama hana matatizo ya kuzaliwa na viambata vingi vya kike ...mfano kuna mashoga wanafanyika mashoga magerezani unakuta mtu mwanaume kamili kafungwa jela akiwa na miaka 45 ana watoto hata 6 ila anakuja kuwa shoga kutokana na yaliyo mkuta jela
Du kumbe nimekutana ma mwalimu wa kiswahili ...mbona haoa jf wenzako wote wanajua mimi natumia kiswaili tofati na wewe unatumia kiswahili..hakuna mtoto anaye zaliwa shoga kwa sababu ushoga ni kuingiliwa kinyume na maumbili ni kama neno umalaya hakuna mtu anaye zaliwa malaya hata kama akizaliwa na minyege 1000 ..umalaya na 7shoga ni vitendoNimesoma maneno uliyotumia kama ''kulidhia'', ''hiali'', nikaweza ku-predict kitu nitakachokutana nacho kwenye hoja yako. Anyway, ningependa zaidi nijadili na mtu mwenye deep understanding na exposure kwenye hili suala.
Wewe utamwita mtoto wako Shcherbakova au Khrushchyov kweli?!Kwa nini pamoja na umaarufu na ushawashi mkubwa wa Urusi kwa Africa kwa miongo mingi Waafrika bado hawatumii kabisa majina ya Warusi?