Kwa nini Waafrica hawatumii majina ya Kirusi

Urusi hana ushawishi (influence) kubwa Africa
Ushabiki maandazi wa mtandaoni ni tofauti na ushawishi.

Ushawishi ni mambo ya kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa
Siasa za Urusi zina influence gani kwa Africa? Utamaduni wa Urusi( kama muziki, movies, ligi na michezo) vina influence gani Africa?
Urusi ina uwekezaji mkubwa Africa, au ina export au import kubwa Africa?

Afdhali China ana ushawishi mkubwa wa kiuchumi lakini ushawishi wa kiutamaduni hana

Sasa kama vitu vyote hana, majina yatafananaje?
Big up kiongozi umetembea mulemule
 
Tatizo lako na wewe ni kupotoka ...wote amjui maana ya ushawishi na tofauti yake na Umafi ...hizo nchi mnazodai zina ushawishi siyo kweli kuwa zina ushawishi bali ZINA UMAFIA KWA WAAFRICA....UKOLONI NI UMAFIA , UTUMWA NI UMAFIA , UKOLONI MAMBO LEO NI UMAFIA ,UTUMWA MAMBO LEO NI UMAFIA , sasa tukitazama historia ya wazungu wa west na waarabu tunaona UMAFIA WALIO FANYA AFRICA SIYO USHAWISHI ...Neno Ushawishi ni kama neno "Kutongoza" ..walicho kifanya wao siyo kutongoza ni UBAKAJI WA BARA LA AFRICA ,Mabeberu na Waarabu walicho kifanya africa siyo Ushawishi (kutongoza) bali ni Umafia (Ubakaji)
 
Urusi hana ushawishi (influence) kubwa Africa
Ushabiki maandazi wa mtandaoni ni tofauti na ushawishi.

Ushawishi ni mambo ya kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa
Siasa za Urusi zina influence gani kwa Africa? Utamaduni wa Urusi( kama muziki, movies, ligi na michezo) vina influence gani Africa?
Urusi ina uwekezaji mkubwa Africa, au ina export au import kubwa Africa?

Afdhali China ana ushawishi mkubwa wa kiuchumi lakini ushawishi wa kiutamaduni hana

Sasa kama vitu vyote hana, majina yatafananaje?
Kwani katiba yetu inatamka Tanzania ni aina gani ya taifa? Kama tumetaja ujamaa basi tayari tumeshawishika na Mrusi.

Nadhani kilichomnyima nafasi ya kuwa na nafasi ni imani tulizoletewa zilitoka kwa wazungu na waarabu, ndio maana majina yao yametawala.
 
Kwa nini pamoja na umaarufu na ushawashi mkubwa wa Urusi kwa Africa kwa miongo mingi Waafrika bado hawatumii kabisa majina ya Warusi?
Pro west akili zenu hua haziezi changanua mambo vizur
Ndio maana mijadala mingi hua mnashindwa hoja.
Sio majina ya kirusi tuh hata ya china hatutumii na hii ni kutokana na mambo ya ukoloni
Waarabu walikuja na majina ya kiarabu
Wazungu walikuja na ya kizungu
 
Si inasemwa Warusi wakati wa USSR walitusaidia kupigania uhuru, sasa kwa nini tusichukue majina ya waliotusaidia kupigania uhuru badala yake tunaendelea na majina ya wakoloni wetu??
 
Abdallah,
Faisal
Omar
Aisha
Hayo ni majina ya kiarabu ila siyo ya kiislamu...hakuna majina ya kiislamu wala ya kikristo duniani ni upumbavu wa watu walio potoka katika upotoshaji wa kuzipotoa dini zao ndiyo walio leta dhana pumbavu ya majina ya kiislamu na kikristo .
 
Si inasemwa Warusi wakati wa USSR walitusaidia kupigania uhuru, sasa kwa nini tusichukue majina ya waliotusaidia kupigania uhuru badala yake tunaendelea na majina ya wakoloni wetu??
Mkoloni tumekaa nae mda mrefu akafanya mpk tukaacha asili yetu na kufata tamaduni zao
 
Ni nchi ngapi zilikuwa colonize fully na Russia ?

Nadhani jibu lipo hapo...., badala ya Cote d'ivoire au República de Moçambique au Darussalam; yangekuwa ni ya Kirusi.....
 
Kwa nini pamoja na umaarufu na ushawashi mkubwa wa Urusi kwa Africa kwa miongo mingi Waafrika bado hawatumii kabisa majina ya Warusi?
Warusi hawakuwahi kututawala siku za nyuma. Majina yetu ya kikristo au kiislam tunayotumia yametokana na influence ya dini tulizoletewa na wakoloni pamoja na utamaduni wao.
 
Back
Top Bottom