Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nasifia panapostahili. Ni kweli wachaga ni wachapa kazi sana, wana bidii na uthubutu. Na pia wengi wamesoma, tofauti na makabila mengine. Hata wale ambao hawana elimu sana ya darasani, wana bidii sana ya kazi na ubunifu, utawakuta wanashona hata viatu, wanauza mitumba, wanauza nyamachoma kitimoto na supu za makongoro... yaani ni wachakarikaji. Ni haki kabisa kuwasifia kwa hayo. LAKINI NI WABAGUZI SANA. Nenda kwao Moshi kama si mchaga usikie watakuitaje. Kama ni mwanamke olewa kwao utajua ninachosema, unless maisha yenu ni ya mjini tu hivi, lakini hizo siku chache utakazokutana na wengione zaidi ya mumeo na watoto utauona huo ubaguzi. Kaoe kwao, utanielewa ninachosema. Na bora wangeishia kubagua makabila mengine tu. Wanabaguana pia wao kwa wao vibaya sana. Mtu akijitambulisha ni mchaga wanamuuliza kwanza "wa wapi"? Jibu atakalotoa litaamua kiwango cha heshima atakayopata. Yani wana ubaguzi mbaya sana wenye dharau.[/QUOTE]
Kwa maana nyingine hawajiamini? Ni impossible (wala siyo kwamba ni vigumu) kumdharau mtu ambaye haja-misbehave kwako. Haya mengine sasa tuseme labda watu mnaanza kuchapia!
mimi nimwsoma vyuo zaidi ya vitano hapa nchini na kila chuo wachaga walikuwa wengi kuliko makabila mengine wakifuatiwa na wahaya.
sasa naomba uniambie hawa wakimaliza shule unaqtaka wakwere wawe wengi maofosini?
mimi si mchaga ila napenda jinsi wanavyosrago na maisha acheni kuwaonea.
Jamani suala la wachaga kuwahi kusoma limekuwa kisingizio kikubwa cha ukabila unaofanywa waziwazi na wachaga wenye vyeo vikubwa kama vile Charles Kimei (CEO, CRDB), Kitilya (CEO, TRA) na kwingineko. Pia wakati Ephraem Mrema akiwa CEO wa TANROADS, managers wengi wa mikoa na kanda walikuwa ni wachaga. Jamani tuache visingizio vya kuwahi kusoma, hivi sasa hata sisi wasukuma tumesoma mno mno na tuko wengi tu kwahiyo hicho kisingizio cha wachaga kuwahi kusoma siyo sahihi.
kama makabila Ya morogoro ....Lyumba pekee yake yeye ndo alikuwa tofautiwahenga walisema "kizuri kula na nduguyo" sa kama hamkuwaelewa shauri yenu!kuna makabila hapa tz hawapendi wenzao watoke ili aliyenacho aonekane mungu mtu kwao!
Mfano:
Jeshi la police: 80% ya RPC NI WACHAGA
CRDB: 75% YA BRANCH MANAGER'S TANZANIA NI WACHANGA
ONGEZEA!!!!!!!!!!!!!!!!
Insanity has found you, you and insanity are inseparable.Mburula ni wewe usieelewa kwamba ukitaja Uchagga unamaanisha na hooooo.
Mimi nilisoma zamani kidogo. Kwenye darasa letu zaidi ya 85% ya wanafunzi walikuwa Wachaga. Hao leo hii wakiwa ni mameneja sitashangaa.
Mimi sina cheo chochote cha maana. Kazi yangu ni kama ya kujitolea.Na wewe unakuwa (una) cheo gani???
Piga shule mkuu
Mimi sina cheo chochote cha maana. Kazi yangu ni kama ya kujitolea.
Aise napenda sana wachagga yaani. ujue hadi nina resolution katika maisha lazima nipate mtoto na mchaga kabla mungu hajanichukua-- kwa sharti mtoto akitoka tu akakulie kwa bibi yake moshi.... i love these people so much!
.Karibu Kibosho chalii angu