Kwa nini wachaga ni wabaguzi sana katika vyeo- bila kuwa mchaga hupandi cheo

Kwa nini wachaga ni wabaguzi sana katika vyeo- bila kuwa mchaga hupandi cheo

Status
Not open for further replies.
Mfano:
Jeshi la police: 80% ya RPC NI WACHAGA
CRDB: 75% YA BRANCH MANAGER'S TANZANIA NI WACHANGA

ONGEZEA!!!!!!!!!!!!!!!!

Utaelezeaje wafanyabiashara wachagga?!? Nao wamependelewa?!?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
waulize wahaya kwanza, wakikupa jibu ndo jibu la wachaga.
 
Basi kumbe hukustahili kuchangia maana hujui machungu ya kusoma ukawa na elimu na ujuzi sawa ama kuwazidi wengine lakini cheo wanapandishwa wengine ambao wakianza kufanya kazi wanakutumia wewe kukuuliza hapa tufanyeje nk. Inauma sana....


Inawezekana kabisa mkuu wako wa kazi ana ujuzi mdogo kupita wewe au umesoma zaidi kuliko yeye. Nilichosema mimi ni kuwa idadi ya wasomi wengi Tanzania ni Wachaga kwa hiyo sitashangaa kama nitaona hao ndiyo wenye vyeo vya juu huko makazini. Vinginevyo, nitashangaa imekuwaje?
 
Inawezekana kabisa mkuu wako wa kazi ana ujuzi mdogo kupita wewe au umesoma zaidi kuliko yeye. Nilichosema mimi ni kuwa idadi ya wasomi wengi Tanzania ni Wachaga kwa hiyo sitashangaa kama nitaona hao ndiyo wenye vyeo vya juu huko makazini. Vinginevyo, nitashangaa imekuwaje?

Hebu chukua scenario hii.... Kuna nafasi ya kazi ilitaka watu wenye ujuzi na elimu ya Masters na CPA. Tukapata watu wawili mimi na mchagga. Lakini huyo mchagga hakuwa na masters wala CPA bali alikuwa na B.COM. Tukariport kazini pamoja lakini yeye akawa ndo boss wangu!!!! Yaani akawa incharge!!!!! Therefore, hoja yako ya uwingi wa wachagga hai-apply hapa maana tulikuwa wawili tu na elimu inayotakiwa ili uwe incharge mimi nilikuwa nayo yeye hakuwa nayo lakini akapewa u-incharge yeye!!!! Tatizo ndo liko hapo.........
 
Utaelezeaje wafanyabiashara wachagga?!? Nao wamependelewa?!?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Acha kuchafua hoja wewe.... Mada iliyopo ni katika ajira za kuajiriwa wewe unachomeka kitu kingine kabisa. Wewe vipi?
 
Aaa usimkatishe tamaa mwenzako ye yuko tayari mwanae alelewe uchagani kwa bibi kwa hiyo hatakataliwa.halafu mwenzio ana pesa ya kumtunza bibi mtoto na mzazi mtarajiwa.just joke
 
Ndio walivyo angalia kwenye chadema wanavyojipendelea.hawataki watu wenye uwezo wanaokubalika kama zitto na shibuda wasije wakaziba nafasi zao
 
mimi nimwsoma vyuo zaidi ya vitano hapa nchini na kila chuo wachaga walikuwa wengi kuliko makabila mengine wakifuatiwa na wahaya.
sasa naomba uniambie hawa wakimaliza shule unaqtaka wakwere wawe wengi maofosini?
mimi si mchaga ila napenda jinsi wanavyosrago na maisha acheni kuwaonea.

good point nitafute hapa 0765164434 nitaku2mia buku ya bando.
 
Huyu jamaa atakuwa ------!wewe unataka upande cheo wakati muda wote uko facebook na youtube?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Malizia tu muda wote unacomment JF unapanda cheo kipi?
 
Makanisani pia. Asilimia 75 ya Paroko wote Tanzania ni Wachaga. Kumbe kanisani nako kuna ubaguzi sikujua. Sijui hata mbinguni itakuwa hivyo? Nahamishia wanangu Kilimanjaro wakasome huko.


Je, na sisi Wahaya mtasema nini? Maana baada ya wachaga kila mahali ni Wahaya.

haaa haaa
 
- 75% walioshika nyadhifa za juu CHADEMA ni wachaga
- 80% ruzuku inayoingia CHADEMA inatumika mkoani Kilimanjaro

mbona kipind kile cuf wapo juu hatukusema % kubwa ya viongoz wanatoka zanzibar nenda shule kama cc alafu omba kaz utapata.
 
UMETOKA NJE YA MADA...... Mtoa mada amezungumzia Tanzania.... Na siyo UN, Kenya ama pengine ulipopataja wewe. Muwe mnaelewa mada vizuri kabla ya kukurupuka kujitetea. Nije kwenye utetezi wako potofu....; kwani kuwa na shule nyingi katika mkoa kunasababisha watu kupanda vyeo watu wa mkoa huo??? Mimi ningekusapoti kama mtoa mada angesema wachagga ni wengi kwenye maofisi hapo hoja yako ingekuwa na mashiko.
Mtoa mada amesema ubaguzi wa wachagga kupendeleana katika kupandishwa vyeo......Wewe vipi? Hata kama unadai wachagga wamesoma sana kwani makabila mengine hawajasoma? Mbona makabila mengine yanafanya kazi katika kampuni ama ajira mbalimbali pamoja na wachagga lakini wakati wa kupandishwa vyeo wanakuwa ni wachagga tu??? Kwani wao wamesomea shule za mbinguni???? Jiulize sana na zingatia mada iliyopo mezani badala ya kutumia nguvu nyingi kujitetea kumbe uko off point. Vinginevyo utakuwa unajua ukweli ndio maana unatumia nguvu nyingi kujitetea.

sasa kama ana kigezo cha kupandishwa cheo asipandishwe kwa kuwa yeye mchaga?? Nenda shule ndugu majungu hayatakusaidia!
 
Jamani suala la wachaga kuwahi kusoma limekuwa kisingizio kikubwa cha ukabila unaofanywa waziwazi na wachaga wenye vyeo vikubwa kama vile Charles Kimei (CEO, CRDB), Kitilya (CEO, TRA) na kwingineko. Pia wakati Ephraem Mrema akiwa CEO wa TANROADS, managers wengi wa mikoa na kanda walikuwa ni wachaga. Jamani tuache visingizio vya kuwahi kusoma, hivi sasa hata sisi wasukuma tumesoma mno mno na tuko wengi tu kwahiyo hicho kisingizio cha wachaga kuwahi kusoma siyo sahihi.

umesoma mpaka form 4 unasema umesoma?? Toa umbulula hapa kumbuka mchaga cku hiz ukisema una degree moja wenzako watakudharau cku hz 2nafkiria phd mbuz wewe
 
umesoma mpaka form 4 unasema umesoma?? Toa umbulula hapa kumbuka mchaga cku hiz ukisema una degree moja wenzako watakudharau cku hz 2nafkiria phd mbuz wewe

Tehetehetehetehetehetehetehe, lol! Haya bwana wewe mwenye Phd ya mdomo mchafu!
 
umesoma mpaka form 4
unasema umesoma?? Toa umbulula hapa kumbuka mchaga cku hiz ukisema una
degree moja wenzako watakudharau cku hz 2nafkiria phd mbuz wewe

Wee kweli mbulula! siku hizi kila kabila watu wamekanyaga vyuo vikuu,tatizo nyie mi mangi mnabana nafasi hata jitu likifikia kustaafu linatafuta mbinu ya kuongezwa mkataba! Michaga bana! sie twende wapi!?
 
Acha upuuzi wako wewe,wachaga kuwa wengi haimanishi eti wote washike nyadhifa za juu.Kwa hiyo unamaanisha kila intake ya CCP pale Moshi wachaga nao wanakuwa wengi kuliko makabila mengine ndo maana kuna maRPC wengi wa kichaga.In short this country is still suffering from tribalism and nepotism wewe huoni hata Philemon Luhanjo alivokuwa waziri kiongozi alijitahidi sana kuwachomeka Wabena kila sehemu nyeti ya serikali ya Tanzania kwa hiyo hilo la wachaga nalo liko sahihi

acha nikwambie kama hujui. Pale ccp wanachukua kuanzia form4 mpaka hata masterz sawa?? Sasa kama hao wenye degree na masterz ni wachaga unataka yule mkuria na mkisiwani wa drs la 7 akafoji cheti cha form 4 ndo awe Rpc au Ocd?? Nenda shule acha majungu,
 
Hii ndio tabia ya wabongo kulalamika tu! na malalamishi yanawachukulia muda na nishati nyingi sana badala ya kufikiria mambo makubwa ya kimaendeleo.

Nyie endeleni kulalamika tu, federation ya EAC inakuja
 
mbona kipind kile cuf wapo juu hatukusema % kubwa ya viongoz wanatoka zanzibar nenda shule kama cc alafu omba kaz utapata.
Afu mwambie kazi ziko nyingi tu ambazo hazihitaji kwenda shule. Wivu wa kike utaujua tu

attachment.php
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom