Kwa nini wachaga ni wabaguzi sana katika vyeo- bila kuwa mchaga hupandi cheo

Status
Not open for further replies.
wahenga walisema "kizuri kula na nduguyo" sa kama hamkuwaelewa shauri yenu!kuna makabila hapa tz hawapendi wenzao watoke ili aliyenacho aonekane mungu mtu kwao!
 
cpt umefunga mjadala hekoo
 
educated, hard working, and supporting each other that is why. Supporting each other is what is being blamed as ubaguzi....a little bit of truth there!
 
nasifia panapostahili. Ni kweli wachaga ni wachapa kazi sana, wana bidii na uthubutu. Na pia wengi wamesoma, tofauti na makabila mengine. Hata wale ambao hawana elimu sana ya darasani, wana bidii sana ya kazi na ubunifu, utawakuta wanashona hata viatu, wanauza mitumba, wanauza nyamachoma kitimoto na supu za makongoro... yaani ni wachakarikaji. Ni haki kabisa kuwasifia kwa hayo. LAKINI NI WABAGUZI SANA. Nenda kwao Moshi kama si mchaga usikie watakuitaje. Kama ni mwanamke olewa kwao utajua ninachosema, unless maisha yenu ni ya mjini tu hivi, lakini hizo siku chache utakazokutana na wengione zaidi ya mumeo na watoto utauona huo ubaguzi. Kaoe kwao, utanielewa ninachosema. Na bora wangeishia kubagua makabila mengine tu. Wanabaguana pia wao kwa wao vibaya sana. Mtu akijitambulisha ni mchaga wanamuuliza kwanza "wa wapi"? Jibu atakalotoa litaamua kiwango cha heshima atakayopata. Yani wana ubaguzi mbaya sana wenye dharau.
 
Pole sna kaka,tabia ya wachaga kazini ni SMARTNES,KAMA UNATAKA CHEO TRY THAT!SIO UBAGUZI,WW KABILA GANI?

Huyu jamaa atakuwa ------!wewe unataka upande cheo wakati muda wote uko facebook na youtube?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Sio kweli, inaweza kuonekana ni Ubaguzi, lakini sababu kubwa hasa ya hao unaowaita Wachaga kuchukua nafasi nyingi kubwa, ni kwamba Mkoa wa KLM ndio unaoongoza kwa Elimu TZ na imekuwa hivyo kwa sababu za kihistoria, Hakuna Mkoa ambao unatilia mkazo Elimu kama KLM, na hakuna Mkoa wenye shule nyingi kama KLM, na imekuwa hivyo kwa karibu miaka 100, hivyo haishangazi popote unapoenda TZ au nje ya TZ utakuta watu wa KLM ndio wana kazi nzuri!

Hata ukienda kwenye Vyuo Vikuu, vitengo vingi vinaongozwa na watu waliosoma KLM, ukienda Nairobi Kenya UN, ukiwa na mawazo kama yako utasema pia kuna Ubaguzi kwa maana karibu kila mfanyakazi Mtanzania utakayemuona amesomea mkoa wa KLM, sasa UN wanajua nini kuhusu huo unaouita Uchaga au sio Uchaga? hivyo sio Ubaguzi bali ni kwamba Mkoa wa KLM umebahatika kutambua umuhimu wa ELIMU tangu zamani sana kwa sababu za kihistoria!

Jamani suala la wachaga kuwahi kusoma limekuwa kisingizio kikubwa cha ukabila unaofanywa waziwazi na wachaga wenye vyeo vikubwa kama vile Charles Kimei (CEO, CRDB), Kitilya (CEO, TRA) na kwingineko. Pia wakati Ephraem Mrema akiwa CEO wa TANROADS, managers wengi wa mikoa na kanda walikuwa ni wachaga. Jamani tuache visingizio vya kuwahi kusoma, hivi sasa hata sisi wasukuma tumesoma mno mno na tuko wengi tu kwahiyo hicho kisingizio cha wachaga kuwahi kusoma siyo sahihi.
 
BOT, Ministry of Finance, Financial insitutions in Tanzania, Muhimbili Hospital and other referral hospitals and many other places!!! Hawa Wachagga masomo ya Science, Biashara na Maths ndivyo vimewafikisha hapa walipo!!! Sasa kama wengine mnataka kusoma HGL na HKL na KLF mnataka kuwaambia nini Wachaga? Hizo taasisi zinazolalamikiwa wanachukua watu wenye background za programme kama Economics, Medicine, Engineering, Statistics, etc!! Kama hakuna ubavu ni bora kukaa kimya!!! Kwa nini pia watu wasilalamike wale vijana wa kidato cha nne na cha sita bora kwa idadi kubwa wanatoka mkoa huo wa Wachagga? Let us do upembuzi yakinifu before jumping to cheap conclusions za ukabila na upendeleo? Kwa taarifa tu wachaga wanachukiwa sana kwa awamu hii na wengi wao hawapewi vyeo na matokeo yake nchi imewashinda!!! Nyerere, Mwinyi na Mkapa hawakukosea!!! Read between lines!!
 
nasifia panapostahili. Ni kweli wachaga ni wachapa kazi sana, wana bidii na uthubutu. Na pia wengi wamesoma, tofauti na makabila mengine. Hata wale ambao hawana elimu sana ya darasani, wana bidii sana ya kazi na ubunifu, utawakuta wanashona hata viatu, wanauza mitumba, wanauza nyamachoma kitimoto na supu za makongoro... yaani ni wachakarikaji. Ni haki kabisa kuwasifia kwa hayo. LAKINI NI WABAGUZI SANA. Nenda kwao Moshi kama si mchaga usikie watakuitaje. Kama ni mwanamke olewa kwao utajua ninachosema, unless maisha yenu ni ya mjini tu hivi, lakini hizo siku chache utakazokutana na wengione zaidi ya mumeo na watoto utauona huo ubaguzi. Kaoe kwao, utanielewa ninachosema. Na bora wangeishia kubagua makabila mengine tu. Wanabaguana pia wao kwa wao vibaya sana. Mtu akijitambulisha ni mchaga wanamuuliza kwanza "wa wapi"? Jibu atakalotoa litaamua kiwango cha heshima atakayopata. Yani wana ubaguzi mbaya sana wenye dharau.

Umejieleza vizuri sana lakini hapo kwenye red umechafua. Kwani ungesema nyama choma tu tusingeelewa? Mpaka utaje na kitu haramu ndo uridhike. Kwani kiti moto siyo nyama choma? Ahhhh, watu wengine mbwana mpaka kichefuchefu.....
 
Jamani suala la wachaga kuwahi kusoma limekuwa kisingizio kikubwa cha ukabila unaofanywa waziwazi na wachaga wenye vyeo vikubwa kama vile Charles Kimei (CEO, CRDB), Kitilya (CEO, TRA) na kwingineko. Pia wakati Ephraem Mrema akiwa CEO wa TANROADS, managers wengi wa mikoa na kanda walikuwa ni wachaga. Jamani tuache visingizio vya kuwahi kusoma, hivi sasa hata sisi wasukuma tumesoma mno mno na tuko wengi tu kwahiyo hicho kisingizio cha wachaga kuwahi kusoma siyo sahihi.

Tena ndo ameiua TRA. Kwa sasa Mamlaka ya Mapato kwa asiyeijua anaona inafanya vizuri kumbe ni marehemu!!!!!!
 
BOT, Ministry of Finance, Financial insitutions in Tanzania, Muhimbili Hospital and other referral hospitals and many other places!!! Hawa Wachagga masomo ya Science, Biashara na Maths ndivyo vimewafikisha hapa walipo!!! Sasa kama wengine mnataka kusoma HGL na HKL na KLF mnataka kuwaambia nini Wachaga? Hizo taasisi zinazolalamikiwa wanachukua watu wenye background za programme kama Economics, Medicine, Engineering, Statistics, etc!! Kama hakuna ubavu ni bora kukaa kimya!!! Kwa nini pia watu wasilalamike wale vijana wa kidato cha nne na cha sita bora kwa idadi kubwa wanatoka mkoa huo wa Wachagga? Let us do upembuzi yakinifu before jumping to cheap conclusions za ukabila na upendeleo? Kwa taarifa tu wachaga wanachukiwa sana kwa awamu hii na wengi wao hawapewi vyeo na matokeo yake nchi imewashinda!!! Nyerere, Mwinyi na Mkapa hawakukosea!!! Read between lines!!

Ni kweli hawakukosea maana kuingiza nchi katika mikataba mibovu (Daniel Yona); kuisababishia hasara serikali (Basili Mramba) kutumia madaraka ya ofisi vibaya (Grey Mgonja) si kosa bali ndo uanaume (kizuri kula na nduguyo). Nimeipenda sana hiyo.
 
Sema mtakavyo lakini wachaga wengi ni hardworker na business hii kitu nafikiri ipo kwenye damu waswahili tunasema,na ni very charismatic kwenye money/business,nina uhakika Kilimanjaro ingekuwa nchi ingekuwa tajiri sana,ni kama wahaya tuu nakubali wengi wao ni vichwa ile mbaya na maringo ya kutosha.
 
mimi nimwsoma vyuo zaidi ya vitano hapa nchini na kila chuo wachaga walikuwa wengi kuliko makabila mengine wakifuatiwa na wahaya.
sasa naomba uniambie hawa wakimaliza shule unaqtaka wakwere wawe wengi maofosini?
mimi si mchaga ila napenda jinsi wanavyosrago na maisha acheni kuwaonea.

Acha upuuzi wako wewe,wachaga kuwa wengi haimanishi eti wote washike nyadhifa za juu.Kwa hiyo unamaanisha kila intake ya CCP pale Moshi wachaga nao wanakuwa wengi kuliko makabila mengine ndo maana kuna maRPC wengi wa kichaga.In short this country is still suffering from tribalism and nepotism wewe huoni hata Philemon Luhanjo alivokuwa waziri kiongozi alijitahidi sana kuwachomeka Wabena kila sehemu nyeti ya serikali ya Tanzania kwa hiyo hilo la wachaga nalo liko sahihi
 
Ni kweli hawakukosea maana kuingiza nchi katika mikataba mibovu (Daniel Yona); kuisababishia hasara serikali (Basili Mramba) kutumia madaraka ya ofisi vibaya (Grey Mgonja) si kosa bali ndo uanaume (kizuri kula na nduguyo). Nimeipenda sana hiyo.

Hayo ni makosa ya kibinadamu ambayo hata wa makabila mengine wamefanya. Sasa hali ilivyo mbaya imesababishwa na Mramba? Hao Mgonja na Yona ni wapare si wachagga.
 
Ni kweli hawakukosea maana kuingiza nchi katika mikataba mibovu (Daniel Yona); kuisababishia hasara serikali (Basili Mramba) kutumia madaraka ya ofisi vibaya (Grey Mgonja) si kosa bali ndo uanaume (kizuri kula na nduguyo). Nimeipenda sana hiyo.
JF kuna Mbulula wengi sana siku hizi.
 
Unajua katika maisha ukiona unaonewa au kutengwa namna yoyote ile, jaribu kufuatilia kwa makini kwa nini? Nimekuwa nikiwafuatilia kwa ukaribu sana wachaga na nikagundua haya
1.wanaushirikiano sana -katika kila kitu wenyewe tunaona hata mtoto mchanga akifa anasafirishwa kwenda kuzikwa kwao wanoona ni bora ndugu yake amuibie kama ni dukani kuliko mtu baki ndo maana utakuta kaka alikuwa na duka akamuweka binamu yake auze baada ya miaka 2 binamu nae ana duka anamueka mdogo au binamu
2.wanapendana wao kwa wao-wakati makabila mengine HAKUNA
3.akifanikiwa anataka na wengine wapate ilikuepuka kuombwa kila siku wakati kabila mengine akipata yeye hataki kuwasaidia wengine kisa tu yeye aonekane ndo kila kitu bocc yeye tajiri yeye
kwa mtindo huo utasema ni ubaguzi -HAPANA
TUNATAKIWA KUWA NA UMOJA HUO KWA MAKABILA YOTE UKIPATA NAFASI JARIBU KUWASAIDIA NA WANAO KUZUNGUKA
HATA KAMA HANA ELIMU HATA KUPIKA CHAI ANAWEZA ,KUDEKI OFISI ,
 
wahenga walisema "kizuri kula na nduguyo" sa kama hamkuwaelewa shauri yenu!kuna makabila hapa tz hawapendi wenzao watoke ili aliyenacho aonekane mungu mtu kwao!

wamasai
 
Wachaga ni SMART katika idea,wasomi,wanaona mbali(futurists), 45% ya watumishi wote serikalini ni wachaga. sacred tribe wa EA kama vile wayahudi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom