Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wahenga walisema "kizuri kula na nduguyo" sa kama hamkuwaelewa shauri yenu!kuna makabila hapa tz hawapendi wenzao watoke ili aliyenacho aonekane mungu mtu kwao!
Pole sna kaka,tabia ya wachaga kazini ni SMARTNES,KAMA UNATAKA CHEO TRY THAT!SIO UBAGUZI,WW KABILA GANI?
Pole sna kaka,tabia ya wachaga kazini ni SMARTNES,KAMA UNATAKA CHEO TRY THAT!SIO UBAGUZI,WW KABILA GANI?
Huyu jamaa atakuwa ------!wewe unataka upande cheo wakati muda wote uko facebook na youtube?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sio kweli, inaweza kuonekana ni Ubaguzi, lakini sababu kubwa hasa ya hao unaowaita Wachaga kuchukua nafasi nyingi kubwa, ni kwamba Mkoa wa KLM ndio unaoongoza kwa Elimu TZ na imekuwa hivyo kwa sababu za kihistoria, Hakuna Mkoa ambao unatilia mkazo Elimu kama KLM, na hakuna Mkoa wenye shule nyingi kama KLM, na imekuwa hivyo kwa karibu miaka 100, hivyo haishangazi popote unapoenda TZ au nje ya TZ utakuta watu wa KLM ndio wana kazi nzuri!
Hata ukienda kwenye Vyuo Vikuu, vitengo vingi vinaongozwa na watu waliosoma KLM, ukienda Nairobi Kenya UN, ukiwa na mawazo kama yako utasema pia kuna Ubaguzi kwa maana karibu kila mfanyakazi Mtanzania utakayemuona amesomea mkoa wa KLM, sasa UN wanajua nini kuhusu huo unaouita Uchaga au sio Uchaga? hivyo sio Ubaguzi bali ni kwamba Mkoa wa KLM umebahatika kutambua umuhimu wa ELIMU tangu zamani sana kwa sababu za kihistoria!
TRA pia.
nasifia panapostahili. Ni kweli wachaga ni wachapa kazi sana, wana bidii na uthubutu. Na pia wengi wamesoma, tofauti na makabila mengine. Hata wale ambao hawana elimu sana ya darasani, wana bidii sana ya kazi na ubunifu, utawakuta wanashona hata viatu, wanauza mitumba, wanauza nyamachoma kitimoto na supu za makongoro... yaani ni wachakarikaji. Ni haki kabisa kuwasifia kwa hayo. LAKINI NI WABAGUZI SANA. Nenda kwao Moshi kama si mchaga usikie watakuitaje. Kama ni mwanamke olewa kwao utajua ninachosema, unless maisha yenu ni ya mjini tu hivi, lakini hizo siku chache utakazokutana na wengione zaidi ya mumeo na watoto utauona huo ubaguzi. Kaoe kwao, utanielewa ninachosema. Na bora wangeishia kubagua makabila mengine tu. Wanabaguana pia wao kwa wao vibaya sana. Mtu akijitambulisha ni mchaga wanamuuliza kwanza "wa wapi"? Jibu atakalotoa litaamua kiwango cha heshima atakayopata. Yani wana ubaguzi mbaya sana wenye dharau.
Jamani suala la wachaga kuwahi kusoma limekuwa kisingizio kikubwa cha ukabila unaofanywa waziwazi na wachaga wenye vyeo vikubwa kama vile Charles Kimei (CEO, CRDB), Kitilya (CEO, TRA) na kwingineko. Pia wakati Ephraem Mrema akiwa CEO wa TANROADS, managers wengi wa mikoa na kanda walikuwa ni wachaga. Jamani tuache visingizio vya kuwahi kusoma, hivi sasa hata sisi wasukuma tumesoma mno mno na tuko wengi tu kwahiyo hicho kisingizio cha wachaga kuwahi kusoma siyo sahihi.
BOT, Ministry of Finance, Financial insitutions in Tanzania, Muhimbili Hospital and other referral hospitals and many other places!!! Hawa Wachagga masomo ya Science, Biashara na Maths ndivyo vimewafikisha hapa walipo!!! Sasa kama wengine mnataka kusoma HGL na HKL na KLF mnataka kuwaambia nini Wachaga? Hizo taasisi zinazolalamikiwa wanachukua watu wenye background za programme kama Economics, Medicine, Engineering, Statistics, etc!! Kama hakuna ubavu ni bora kukaa kimya!!! Kwa nini pia watu wasilalamike wale vijana wa kidato cha nne na cha sita bora kwa idadi kubwa wanatoka mkoa huo wa Wachagga? Let us do upembuzi yakinifu before jumping to cheap conclusions za ukabila na upendeleo? Kwa taarifa tu wachaga wanachukiwa sana kwa awamu hii na wengi wao hawapewi vyeo na matokeo yake nchi imewashinda!!! Nyerere, Mwinyi na Mkapa hawakukosea!!! Read between lines!!
mimi nimwsoma vyuo zaidi ya vitano hapa nchini na kila chuo wachaga walikuwa wengi kuliko makabila mengine wakifuatiwa na wahaya.
sasa naomba uniambie hawa wakimaliza shule unaqtaka wakwere wawe wengi maofosini?
mimi si mchaga ila napenda jinsi wanavyosrago na maisha acheni kuwaonea.
ndo hivyo ndg,hakuna ambaye hapend kumbeba nduguye lbd awe habebek!tuache kulalamika kama umeleolewa mkemwenza!cpt umefunga mjadala hekoo
Ni kweli hawakukosea maana kuingiza nchi katika mikataba mibovu (Daniel Yona); kuisababishia hasara serikali (Basili Mramba) kutumia madaraka ya ofisi vibaya (Grey Mgonja) si kosa bali ndo uanaume (kizuri kula na nduguyo). Nimeipenda sana hiyo.
JF kuna Mbulula wengi sana siku hizi.Ni kweli hawakukosea maana kuingiza nchi katika mikataba mibovu (Daniel Yona); kuisababishia hasara serikali (Basili Mramba) kutumia madaraka ya ofisi vibaya (Grey Mgonja) si kosa bali ndo uanaume (kizuri kula na nduguyo). Nimeipenda sana hiyo.
JF kuna Mbulula wengi sana siku hizi.
wahenga walisema "kizuri kula na nduguyo" sa kama hamkuwaelewa shauri yenu!kuna makabila hapa tz hawapendi wenzao watoke ili aliyenacho aonekane mungu mtu kwao!