malema 1989
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 1,319
- 520
wanataka kujifananisha na mangi!yaani wahaya utawajua tu!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanataka kujifananisha na mangi!yaani wahaya utawajua tu!!!
Hii haithibitishi chochote. Ni mtazamo finyu tu. Mbona husemi kwenye elimu darani more than 60% mara nyingi ni wachaga?
Sent using wireless by wire
wapo wengi tu ila huwezi kuwatambua kirahisi kwa kuwa wanajua kiswahili tofauti na nyie mnaongea kama mna banja.mimi nimefanya kazi sehemu tano tofauti cha ajabu sijawahi kukutana na m.kwere hata mmoja kwenye maofisi hayo! Hivi wakwere ajira zao ni urais tu?
kule kwenu mtu akijijengea nyumba ya bati mnamloga sasa sijui tuwasaidie vipi...Hata Kama Mtoa mada kashambuliwa Na wachaga huo ndo ukweli wachaga wabinafsi sanaa
Pole sna kaka,tabia ya wachaga kazini ni SMARTNES,KAMA UNATAKA CHEO TRY THAT!SIO UBAGUZI,WW KABILA GANI?
Sio kweli, inaweza kuonekana ni Ubaguzi, lakini sababu kubwa hasa ya hao unaowaita Wachaga kuchukua nafasi nyingi kubwa, ni kwamba Mkoa wa KLM ndio unaoongoza kwa Elimu TZ na imekuwa hivyo kwa sababu za kihistoria, Hakuna Mkoa ambao unatilia mkazo Elimu kama KLM, na hakuna Mkoa wenye shule nyingi kama KLM, na imekuwa hivyo kwa karibu miaka 100, hivyo haishangazi popote unapoenda TZ au nje ya TZ utakuta watu wa KLM ndio wana kazi nzuri!
Hata ukienda kwenye Vyuo Vikuu, vitengo vingi vinaongozwa na watu waliosoma KLM, ukienda Nairobi Kenya UN, ukiwa na mawazo kama yako utasema pia kuna Ubaguzi kwa maana karibu kila mfanyakazi Mtanzania utakayemuona amesomea mkoa wa KLM, sasa UN wanajua nini kuhusu huo unaouita Uchaga au sio Uchaga? hivyo sio Ubaguzi bali ni kwamba Mkoa wa KLM umebahatika kutambua umuhimu wa ELIMU tangu zamani sana kwa sababu za kihistoria!
Hivi zinazoitwa sababu za kihistoria ndo zipi vile.....??.MAANA TUKIJUA HIZO SABABU ZA KIHISTORIA MAANA YAKE ITAKUWA VICEVERSA KWA WAIO WACHAGHA
Acheni uzushi hamsikii mnayoambiwa na rais: hakuna ubaguzi. na kama sera za serikali zisingekinzana na maendeleo ya wachagga na kucounter juhudi zao baada ya uhuru wangekuwa mbali hii ni excerpt toka The Times magazine issue ya 1958 inaonesha hali ya wachagga wakati huo.Ni kweli kwamba KLM kuna shule nyingi sana na nyingine zilijengwa kwa hela za umma mlizokwapua. Hata hivyo kwa sasa siyo wote wanaoteuliwa kwenye sehemu nyeti ni matokeo ya perfomance, bali ni ukabila. Kwa kuthibitisha hilo, jiulize ni kwa nini huku mjini kuna vyama vingi sana vya wachaga kuanzia vyuoni hadi mtaani ilhali Kabila ni moja? Hapo ni dhahiri kuwa wanatengeneza mtandao uliompana zaidi. Ubaguzi huu kwa sasa umeenea hadi kwenye biashara ya bia, sukari na hardware. Bila ya kuwa mchaga huwezi kuwa supplier au agent. Na hata ukifuruku wakijua kuwa we si mchaga watakupiga vita mpaka ufunge au ufirisike.
Ni kweli kwamba KLM kuna shule nyingi sana na nyingine zilijengwa kwa hela za umma mlizokwapua. Hata hivyo kwa sasa siyo wote wanaoteuliwa kwenye sehemu nyeti ni matokeo ya perfomance, bali ni ukabila. Kwa kuthibitisha hilo, jiulize ni kwa nini huku mjini kuna vyama vingi sana vya wachaga kuanzia vyuoni hadi mtaani ilhali Kabila ni moja? Hapo ni dhahiri kuwa wanatengeneza mtandao uliompana zaidi. Ubaguzi huu kwa sasa umeenea hadi kwenye biashara ya bia, sukari na hardware. Bila ya kuwa mchaga huwezi kuwa supplier au agent. Na hata ukifuruku wakijua kuwa we si mchaga watakupiga vita mpaka ufunge au ufirisike.