Kwa nini wafanya biashara wengi wa dala dala wamepaki gari zao? Je, hii biashara hailipi?

Kwa nini wafanya biashara wengi wa dala dala wamepaki gari zao? Je, hii biashara hailipi?

Ukipita hapa mjini na ukiangalia maeneo ya kupaki magari na vituo vya mafuta utakuta dala dala nyingi ziko hoi. Wengi wamepaki na zimeharibika.
Tatizo ni nini???
Mjini darisalam sio? Umesema zimepaki, ziko hoi, zimeharibika hii Ina uhusiano gani na biashara kutokulipa? Dar daladala zinakesha kwahiyo kama umezikuta zimepaki Kuna sababu, kama unataka kuingia kwenye hiyo biashara we ingia tu acha woga!
 
Foleni zimezidi, na kusababisha tripu kuwa chache kwa hiyo hakuna hela tena kama zamani
 
Back
Top Bottom