Kwa nini wakati wa Utawala wa Magufuli umeme haukuwa wa tabu kama awamu ya Samia?!

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM.

Sielewi tatizo ni nini!
 
Si kweli, hata wakati wa magufuli umeme ulikuwa tabu na wa kukatika katika na si hapo tu tabu ya umeme ipo tangu wakati wa nyerere na haijawahi kutatuliwa hadi leo , ila kwa sababu ya chuki yako kwa mama samia naamini huwezi kumbuka kukatika kwa umeme awamu zilizo pita.

Tena nakumbika wakati wa magufuli ulikuwa unapita mgao wa kimya kimya hakuna mtu kulalamika mnaweza shinda siku nzima umeme haupo.
 
Na wewe unakua muongo sasa, shida ya umeme imepunguzwa kwa kiasi chake sio tangu Nyerere mpaka sahivi samia, tena awamu ya magufuli ilipungua sana maana watumishi waliogopa kulimwa barua walifanya kazi kwa uwoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu waache kutumia muda kujitetea lakin ningeomba watafute suluhu bila kusema hata kwa fulani ilikua inafanyika. Kwa nn watu tunaogopa kukukubali kuwajibika na kutafuta suluhu ya kitu. Hii wizara inahitaji uelewa wa mahesabu kuliko kuiendesha kisiasa, how to pull together all financial, skills of people ,time factors ...pamoja ,ili uje kupata kitu ambacho kitasaidia nchi kwa ujumla na wananchi. Watu waache malumbano ,waache siasa ila waje na suluhu. Hii wizara ni an on going project ya kubalance all inputs/outputs together.
 
Na wewe unakua muongo sasa, shida ya umeme imepunguzwa kwa kiasi chake sio tangu Nyerere mpaka sahivi samia, tena awamu ya magufuli ilipungua sana maana watumishi waliogopa kulimwa barua walifanya kazi kwa uwoga

S
Usicho kijua ni kwamba tatizo la umem

Na wewe unakua muongo sasa, shida ya umeme imepunguzwa kwa kiasi chake sio tangu Nyerere mpaka sahivi samia, tena awamu ya magufuli ilipungua sana maana watumishi waliogopa kulimwa barua walifanya kazi kwa uwoga

Sent using Jamii Forums mobile app
Usicho kijua wewe ni kwamba tatizo la umeme halitokani na nani anaogopwa bali tatizo la umeme tanzania ni la kisayansi na kikandalasi zaid au tuseme ni la kimiundombinu zaid na halijawahi tatuliwa likaisha ni porojo zilezile kila mwaka labda kama unajisahahulisha, sasa unapo niambia kuwa wakati wa magufuli tatizo halikiwepo nazidi kukuona na wewe ni wale wale.
 
Achana na huyo kichaa
 
Usicho kijua ni kwamba tatizo la umem

Usicho kijua wewe ni kwamba tatizo la umeme halitokani na nani anaogopwa bali tatizo la umeme tanzania ni la kisayansi na kikandalasi zaid au tuseme ni la kimiundombinu zaid na halijawahi tatuliwa likaisha ni porojo zilezile kila mwaka labda kama unajisahahulisha, sasa unapo niambia kuwa wakati wa magufuli tatizo halikiwepo nazidi kukuona na wewe ni wale wale
Tuwe wa kweli katika maisha tusiishi kw a chuki kwenye ukweli tuseme ukweli,maana ipo siku utakufa, tukiishi kwa kinvuli cha rangi nyekundu kuaminisha ni blue ni sawa na kuidanganya nafsi yako ,Tuseme ukweli kipindi cha JPM umeme ulikua haukatiki ovyoovyo na huu ni ukweli, ukipinga ukweli wewe hauna tofauti na mchawi
 
Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM.

Sielewi tatizo ni nini!
Tuliosoma Cuba hatuna haja ya kuargue na wewe tumeshakusoma
Screenshot_20211002-173730.jpg
Screenshot_20211002-173628.jpg
Screenshot_20211002-173605.jpg
 
Tuwe wa kweli katika maisha tusiishi kw a chuki kwenye ukweli tuseme ukweli,maana ipo siku utakufa, tukiishi kwa kinvuli cha rangi nyekundu kuaminisha ni blue ni sawa na kuidanganya nafsi yako ,Tuseme ukweli kipindi cha JPM umeme ulikua haukatiki ovyoovyo na huu ni ukweli, ukipinga ukweli wewe hauna tofauti na mchawi
Wewe tanzania hii wote tunaishi usha sahau mada za mgao wa umeme humu wakati wa JPM tena mgao wa kimya kimya? Au tuanze kuwakumbusha link si?
 
Tunaomba utukumbushe na shahidi awe Mungu unayemwabudu, hakika Mimi ninasema umeme kipindi hiki unakatika sana, na kama mtu hana interest yoyote ya kisiasa lazima ahafiki hili kwa roho moja, na mwaka huu mtaona mengi
 
Tuwe wa kweli katika maisha tusiishi kw a chuki kwenye ukweli tuseme ukweli,maana ipo siku utakufa, tukiishi kwa kinvuli cha rangi nyekundu kuaminisha ni blue ni sawa na kuidanganya nafsi yako ,Tuseme ukweli kipindi cha JPM umeme ulikua haukatiki ovyoovyo na huu ni ukweli, ukipinga ukweli wewe hauna tofauti na mchawi
Hebu tuambie hii ni wakati wa nani?

Pia na hii

Na hii pia

Hebu kwa uchache pitia hizo kwanza ingawa zipo nyingi tu za awamu hiyo mnayo isifia ndio maana nawaambia tatizo la umeme tanzania halijalishi nani rais ni la kimfumo na ni la miaka nenda rud
 
M
Mauaji ya albino,ugonvi wa wafugaji na wakulima,utekaji mabasi,haya tuliyasahau Sasa yamerudi kwa Kasi ya raidi.
Mtemi Hangaya asiwachekee watendaji watamuharibia.
Mwaka huu na miaka inayokuja tutaona Mengi, kikubwa tumuombee mama asimame kama raisi
 
Nahisi jf imevamiwa na misukule ya Gwajima, mwenyewe aje aichukue misukule yake.
 
Katika familia baba akiwa mkali kila kitu kinaenda sawa. Utasikia wanaambizana tumalize Ile kazi haraka baba anakuja. Ni jibu langu.
 
Back
Top Bottom