mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Shida ni kwamba matatizo yapo siku zote, Ila Mambo yalianza kuharibika Mwezi January huko tanesco na magu kafariki Mwezi wa tatu, ni Kama coincident imetokea shida zimekuwa kubwa wakati yeye anafariki na hazihusiani chochote na kifo chake hata angekuwepo matatizo ya mitambo yangetokea tu,Kuna shida tanesco sema imekuwa zahir mwaka huu na haihusiani na kufa kwa magu