Kwa nini wakati wa Utawala wa Magufuli umeme haukuwa wa tabu kama awamu ya Samia?!

Afadhali mgao wa kimyakimya kuliko ukatikaji holela
Kiholela vip tena mzee? we kama hutaki umeme ukatike achana na Tanesco tumia jua mzee, eti Tanesco wasifanye marekebisho ya miundo mbinu yao ya nguzo za zaman zilizo chakaa na kuoza kwa vile ni za mti eti kwa vile kuna wajinga wachache wanalinganisha ukatikaji wa umeme wakati wa Magufuli na Samia !!? Huo ni ujinga wa head.

Kuna marekebisho makubwa yanafanyika kwenye vituo vikuu vya umeme juzi tu msamvu pale paliwaka sasa we hutaki umeme ukatwe ili warekebishe?

Haya kuna kampeni ya kutoa nguzo za mti na kuweka nguzo za zege sijui unalijua hilo ? Na mpango umeanzia Dar ,sasa unataka wabadili nguzo huku umeme unawaka?

Mnajua kulalamika na sio kutafiti hivi unadhani mtu anajisikia tu kuzima switch halafu anapiga story sio.!?
 
Umeandika kwa hisia sana,huku kwetu Mwanza wamekata umeme asubuhi hii,itakuwa napo wanatuwekea nguzo za zege😂😂
 
Nenda Tanesco kaulize unadhan wamejisikia tu kukata halafu wanaendelea kupiga soga?
 
Si kweli, hata wakati wa magufuli umeme ulikuwa tabu na wa kukatika katika na si hapo tu tabu ya umeme ipo tangu wakati wa nyerere na haijawahi kutatuliwa hadi leo , ila kwa sababu ya chuki yako kwa mama samia naamini huwezi kumbuka kukatika kwa umeme awamu zilizo pita.

Tena nakumbika wakati wa magufuli ulikuwa unapita mgao wa kimya kimya hakuna mtu kulalamika mnaweza shinda siku nzima umeme haupo.
Yaaaniii wewe ni [emoji232] kabisa. Ficha hata kidogo ushabiki maandazi wako
 
Kama leo maeneo mengi ya mwanza umeme umekatika tokea usiku mpaka mida hii wanasema kurudi mpaka kesho yaniii...
 
Si kweli, hata wakati wa magufuli umeme ulikuwa tabu na wa kukatika katika na si hapo tu tabu ya umeme ipo tangu wakati wa nyerere na haijawahi kutatuliwa hadi leo , ila kwa sababu ya chuki yako kwa mama samia naamini huwezi kumbuka kukatika kwa umeme awamu zilizo pita.

Tena nakumbika wakati wa magufuli ulikuwa unapita mgao wa kimya kimya hakuna mtu kulalamika mnaweza shinda siku nzima umeme haupo.
Acha uongo unadhani kipindi cha magufuli watanzania tulikuwa tunaishi sweden ,wote tulikiwepo tanzania na tulijionea umeme kutokukatika ovyo kama sasa.
 
Walikua wanamuogopa maana huna cha kumuelezea zaidi ya kutumbuliwa...
 
Yaaaniii wewe ni
emoji232.png
kabisa. Ficha hata kidogo ushabiki maandazi wako
Yaaaniii wewe ni
emoji232.png
kabisa. Ficha hata kidogo ushabiki maandazi wak

Shida sio kupiga soga,issue ni plan,haya mambo inatakiwa plan
Nani kafeli hilo swala la plan mzee!?
 
Acha uongo unadhani kipindi cha magufuli watanzania tulikuwa tunaishi sweden ,wote tulikiwepo tanzania na tulijionea umeme kutokukatika ovyo kama sasa.
Kuna mwenzio alikuwa mbishi kama wewe nilipo mletea nyuzi za malalamiko ya kukatika katika umeme kuanzia 2016 hadi February 2021 kapotea na simuoni tena, acheni ubinafsi na chuki zenu magufuli kaingia kakuta tatizo la umeme lipo na ameliacha likiwepo na msidangaye watu kwamba alilimaliza,

Kitu pekee alicho pambana ili kuondokana na tatizo hili la umeme ni uanzishaji wa ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme wa maji hilo nampongeza lakini huo udalali wenu wa kuongopea watu kuonesha tatizo la umeme halikuwepo wakati wa utawala wake hapana.
 
Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM.

Sielewi tatizo ni nini!
Sukuma gang mko wengi sana,
 
Back
Top Bottom