jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Wizara wamepewa wale wanamtandao sasa hivi unit moja ni Tsh 300.Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM.
Sielewi tatizo ni nini!
...karibia maeneo yote Tanzania nzima kilio ndicho hicho.Unakatika wapi bwashee?
Si kweli, hata wakati wa magufuli umeme ulikuwa tabu na wa kukatika katika na si hapo tu tabu ya umeme ipo tangu wakati wa nyerere na haijawahi kutatuliwa hadi leo , ila kwa sababu ya chuki yako kwa mama samia naamini huwezi kumbuka kukatika kwa umeme awamu zilizo pita.Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM.
Sielewi tatizo ni nini!
Siyo kweli bwashee....karibia maeneo yote Tanzania nzima kilio ndicho hicho.
Na wewe unakua muongo sasa, shida ya umeme imepunguzwa kwa kiasi chake sio tangu Nyerere mpaka sahivi samia, tena awamu ya magufuli ilipungua sana maana watumishi waliogopa kulimwa barua walifanya kazi kwa uwogaSi kweli, hata wakati wa magufuli umeme ulikuwa tabu na wa kukatika katika na si hapo tu tabu ya umeme ipo tangu wakati wa nyerere na haijawahi kutatuliwa hadi leo , ila kwa sababu ya chuki yako kwa mama samia naamini huwezi kumbuka kukatika kwa umeme awamu zilizo pita.
Tena nakumbika wakati wa magufuli ulikuwa unapita mgao wa kimya kimya hakuna mtu kulalamika mnaweza shinda siku nzima umeme haupo.
Usicho kijua ni kwamba tatizo la umemNa wewe unakua muongo sasa, shida ya umeme imepunguzwa kwa kiasi chake sio tangu Nyerere mpaka sahivi samia, tena awamu ya magufuli ilipungua sana maana watumishi waliogopa kulimwa barua walifanya kazi kwa uwoga
S
ent using Jamii Forums
Usicho kijua wewe ni kwamba tatizo la umeme halitokani na nani anaogopwa bali tatizo la umeme tanzania ni la kisayansi na kikandalasi zaid au tuseme ni la kimiundombinu zaid na halijawahi tatuliwa likaisha ni porojo zilezile kila mwaka labda kama unajisahahulisha, sasa unapo niambia kuwa wakati wa magufuli tatizo halikiwepo nazidi kukuona na wewe ni wale wale.Na wewe unakua muongo sasa, shida ya umeme imepunguzwa kwa kiasi chake sio tangu Nyerere mpaka sahivi samia, tena awamu ya magufuli ilipungua sana maana watumishi waliogopa kulimwa barua walifanya kazi kwa uwoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na huyo kichaaUsicho kijua ni kwamba tatizo la umem
Usicho kijua wewe ni kwamba tatizo la umeme halitokani na nani anaogopwa bali tatizo la umeme tanzania ni la kisayansi na kikandalasi zaid au tuseme ni la kimiundombinu zaid na halijawahi tatuliwa likaisha ni porojo zilezile kila mwaka labda kama unajisahahulisha, sasa unapo niambia kuwa wakati wa magufuli tatizo halikiwepo nazidi kukuona na wewe ni wale wale.
Tuwe wa kweli katika maisha tusiishi kw a chuki kwenye ukweli tuseme ukweli,maana ipo siku utakufa, tukiishi kwa kinvuli cha rangi nyekundu kuaminisha ni blue ni sawa na kuidanganya nafsi yako ,Tuseme ukweli kipindi cha JPM umeme ulikua haukatiki ovyoovyo na huu ni ukweli, ukipinga ukweli wewe hauna tofauti na mchawiUsicho kijua ni kwamba tatizo la umem
Usicho kijua wewe ni kwamba tatizo la umeme halitokani na nani anaogopwa bali tatizo la umeme tanzania ni la kisayansi na kikandalasi zaid au tuseme ni la kimiundombinu zaid na halijawahi tatuliwa likaisha ni porojo zilezile kila mwaka labda kama unajisahahulisha, sasa unapo niambia kuwa wakati wa magufuli tatizo halikiwepo nazidi kukuona na wewe ni wale wale
Tuliosoma Cuba hatuna haja ya kuargue na wewe tumeshakusomaUkweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM.
Sielewi tatizo ni nini!
Wewe tanzania hii wote tunaishi usha sahau mada za mgao wa umeme humu wakati wa JPM tena mgao wa kimya kimya? Au tuanze kuwakumbusha link si?Tuwe wa kweli katika maisha tusiishi kw a chuki kwenye ukweli tuseme ukweli,maana ipo siku utakufa, tukiishi kwa kinvuli cha rangi nyekundu kuaminisha ni blue ni sawa na kuidanganya nafsi yako ,Tuseme ukweli kipindi cha JPM umeme ulikua haukatiki ovyoovyo na huu ni ukweli, ukipinga ukweli wewe hauna tofauti na mchawi
Tunaomba utukumbushe na shahidi awe Mungu unayemwabudu, hakika Mimi ninasema umeme kipindi hiki unakatika sana, na kama mtu hana interest yoyote ya kisiasa lazima ahafiki hili kwa roho moja, na mwaka huu mtaona mengiWewe tanzania hii wote tunaishi usha sahau mada za mgao wa umeme humu wakati wa JPM tena mgao wa kimya kimya? Au tuanze kuwakumbusha link si?
Hebu tuambie hii ni wakati wa nani?Tuwe wa kweli katika maisha tusiishi kw a chuki kwenye ukweli tuseme ukweli,maana ipo siku utakufa, tukiishi kwa kinvuli cha rangi nyekundu kuaminisha ni blue ni sawa na kuidanganya nafsi yako ,Tuseme ukweli kipindi cha JPM umeme ulikua haukatiki ovyoovyo na huu ni ukweli, ukipinga ukweli wewe hauna tofauti na mchawi
Mwaka huu na miaka inayokuja tutaona Mengi, kikubwa tumuombee mama asimame kama raisiMauaji ya albino,ugonvi wa wafugaji na wakulima,utekaji mabasi,haya tuliyasahau Sasa yamerudi kwa Kasi ya raidi.
Mtemi Hangaya asiwachekee watendaji watamuharibia.