mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Kweli tayari tumeshaanza kuona,eti wizara nyeti anapewa mtu Kama Makamba! Kwa uwezo up?M
Mwaka huu na miaka inayokuja tutaona Mengi, kikubwa tumuombee mama asimame kama raisi
Tanzania yangu siasa imetutawala,siasa imeharibu direction ya nchi, siasa imeharibu elimu, siasa imezidi kufanya wananchi wanakua wajinga zaidi, siasa imefanya tufikirie kama watu wa karne ya 19,siasa inatufanya tuwe wajinga kifikra na tunakuwa vivuli wa watu Fulani,Tanzania yangu haita simama, hadi kizazi hiki kipite,Nanukuu na huu ni ukweliHebu tuambie hii ni wakati wa nani?
Huu mgao wa umeme unaendeleaje nchini, why serikali inaficha na kudai kuna ziada ya umeme?
Kuna mgao wa umeme unaendelea nchini, lakini wizara ya nishati na serikali kwa ujumla wanaogopa kutangaza, pia wanajinasibu kuwa tuna ziada ya umeme. Ni vizuri mtutangazie, ili tuwe tunajiandaa mapema, kuliko kukaata bila taarifa. Najua hamuwezi kutangaza kuna mgao japo upo na hii ni kulinda...www.jamiiforums.com
Pia na hii
Wilaya ya Ubungo kuna mgao wa umeme? Mpaka sasa hakuna umeme
Na hii pia
Kama kuna mgao wa Umeme si mtangaze tu, mnamuonea nani aibu wakati Nchi kweli ni masikini?
Wakuu Salaam; Hivi Serikali mnaona aibu gani kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme nchini? Kila siku mnakata umeme mnarudisha muda mnaotaka, jana mmezima kuanzia asubuhi mkarudisha jioni na leo mmeuacha kuanzia asubuhi mmekata tena jioni hii! Hii nchi ni maskini bado, tusiaminishane kila kitu...www.jamiiforums.com
Hebu kwa uchache pitia hizo kwanza ingawa zipo nyingi tu za awamu hiyo mnayo isifia ndio maana nawaambia tatizo la umeme tanzania
Vipi wakati wa Richmond, SYMBION, na IPTL. TANESCO ilikua inaingiza hasara kiasi gani? Acha propaganda za kipuuzi kwasbb ya chuki, yule jamaa alipiga kazi na ndiyo maana akaamua kuchimba lile bwawa la Stieglers ili kuepukana na hizi hasara zote pamoja na upigaji.Na hasara ya zaidi ya bilioni 230
Tanesco ilikua on its last legs
Tanesco haikuwahi kununua vipuri vya machines kwa miaka mitano yote
Kumbuka serikali ilikua hailipi wajenga umeme hela zao...it was the matter of time kila kitu kita collapse
Hakuna cha maana na Magufuli,mwizi na dhulumati yule
Umekubaliana na mwenzio?amekukumbusha bado unakataa?Tanzania yangu siasa imetutawala,siasa imeharibu direction ya nchi, siasa imeharibu elimu, siasa imezidi kufanya wananchi wanakua wajinga zaidi, siasa imefanya tufikirie kama watu wa karne ya 19,siasa inatufanya tuwe wajinga kifikra na tunakuwa vivuli wa watu Fulani,Tanzania yangu haita simama, hadi kizazi hiki kipite,Nanukuu na huu ni ukweli
Tusubirie kama kwa hili bado atakataa au atakubaliana naye umempa facts tuone atasemajeHebu tuambie hii ni wakati wa nani?
Huu mgao wa umeme unaendeleaje nchini, why serikali inaficha na kudai kuna ziada ya umeme?
Kuna mgao wa umeme unaendelea nchini, lakini wizara ya nishati na serikali kwa ujumla wanaogopa kutangaza, pia wanajinasibu kuwa tuna ziada ya umeme. Ni vizuri mtutangazie, ili tuwe tunajiandaa mapema, kuliko kukaata bila taarifa. Najua hamuwezi kutangaza kuna mgao japo upo na hii ni kulinda...www.jamiiforums.com
Pia na hii
Waziri Kalemani: Mgao wa umeme uishe, matengenezo yakamilike
Waziri amenukuliwa akisema; "Matengenezo yakamilike, sitaki kuona kuna mgao wa umeme, matengenezo yakamilike hali ya umeme irejee kama kawaida" Pia soma >TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani ameagiza kuwa, matengenezo ya mitambo...www.jamiiforums.com
Na hii pia
Kama kuna mgao wa Umeme si mtangaze tu, mnamuonea nani aibu wakati Nchi kweli ni masikini?
Wakuu Salaam; Hivi Serikali mnaona aibu gani kutangaza kuwa kuna mgao wa umeme nchini? Kila siku mnakata umeme mnarudisha muda mnaotaka, jana mmezima kuanzia asubuhi mkarudisha jioni na leo mmeuacha kuanzia asubuhi mmekata tena jioni hii! Hii nchi ni maskini bado, tusiaminishane kila kitu...www.jamiiforums.com
Hebu kwa uchache pitia hizo kwanza ingawa zipo nyingi tu za awamu hiyo mnayo isifia ndio maana nawaambia tatizo la umeme tanzania halijalishi nani rais ni la kimfumo na ni la miaka nenda rud
Kweli ulikua unakatika, lakin sio kama ulivyozidi ivi sawa,Issue mi nazungumzia frequently pasipo na logic, #tuwe wa kweli tusiishi kama vyawa,ipo siku tutaulizwa tuliifanyia nini Tanzania, tusimamie ukwelUmekubaliana na mwenzio?amekukumbusha bado unakataa?
Wakati wa Jiwe ulikuwa unakatika sana lakini ilikuwa marufuku kutangaza kuitangaza unauwawa. Halafu alivyokuwa na roho mbaya akamtumbua Mhandisi Mramba kwa aibu akila krismas nyumbani kwao kisa kabila lake.Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM.
Sielewi tatizo ni nini!
Akina kigogo wameingia serikalini lazima hayo yatokee.Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM.
Sielewi tatizo ni nini!
Aiseeeh yaan huku kibamba mloganzila daaaaaaaah huyu mama hadi watu wameshamchukia hawampendi kabisa yaan mama anachukiwa ila yeye anajua anapendwa,umeme kila kukicha tena bila taarifa wanakata,kumbe ni sehemu nyingi ila mama ye maskini anajua anapendwa, tatizo anaongea juu ila chuni hakuna utekelezajiUkweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM.
Sielewi tatizo ni nini!
Na hasara ya zaidi ya bilioni 230
Tanesco ilikua on its last legs
Tanesco haikuwahi kununua vipuri vya machines kwa miaka mitano yote
Kumbuka serikali ilikua hailipi wajenga umeme hela zao...it was the matter of time kila kitu kita collapse
Hakuna cha maana na Magufuli,mwizi na dhulumati yule
Huku kwetu ni uswahilini haujawahi kukatika...karibia maeneo yote Tanzania nzima kilio ndicho hicho.
Sisi kwetu haujawahi kukatika au una ugomvi binafsi na makambaKweli tayari tumeshaanza kuona,eti wizara nyeti anapewa mtu Kama Makamba! Kwa uwezo up?
Anachochote anachoweza kueleza wizara alizopita alifanya Nini?
Huku jimboni kwake Bumbuli alifanya chochote Cha maana?
Au Lile pozi la Kama mtu mwenye hekima ndo criteria?
Muulize mleta Uzi,tutajuaje Labda unatoka Msoga au Bumbuli,utakatikaje?Sisi kwetu haujawahi kukatika au una ugomvi binafsi na makamba
Kwenye kiuno chako.Unakatika wapi bwashee?
Usha badilisha gia angani tena? Maana mie nilipo huku umeme naupata sana tu na ukikatika unakatika ama ambavyo tulizoeshwa tangu uhuruKweli ulikua unakatika, lakin sio kama ulivyozidi ivi sawa,Issue mi nazungumzia frequently pasipo na logic, #tuwe wa kweli tusiishi kama vyawa,ipo siku tutaulizwa tuliifanyia nini Tanzania, tusimamie ukwel
Afadhali mgao wa kimyakimya kuliko ukatikaji holelaSi kweli, hata wakati wa magufuli umeme ulikuwa tabu na wa kukatika katika na si hapo tu tabu ya umeme ipo tangu wakati wa nyerere na haijawahi kutatuliwa hadi leo , ila kwa sababu ya chuki yako kwa mama samia naamini huwezi kumbuka kukatika kwa umeme awamu zilizo pita.
Tena nakumbika wakati wa magufuli ulikuwa unapita mgao wa kimya kimya hakuna mtu kulalamika mnaweza shinda siku nzima umeme haupo.