Kwa nini Wanajeshi, polisi, magereza na Usalama wa Taifa bado wanamlilia Rais Magufuli?

Kweli kabisa, uvaaji wa kaunda/safari suti ulishamiri sana wakati wa dikteta jiwe
 


walipewa ufalme badala ya kufuata sheria. Lakini wameundiwa kamati ya marekebisho kitu ambacho hawapendi hasa viongozi wala rushwa. Traffic rushwa kila mahali
 
Umeulizwa alikufanya nini wewe?
 
Kwa sababu walijipatia ulaji kupitia silaha zao na hiyo ndio sababu kubwa

Yeye alikuwa anatoa amri tu
Mara hela za brush nk
 
Kwa kutokukemea Magufuli hamshindi Samia.
 
Umeulizwa alikufanya nini wewe?
Huo ni mtazamo finyu sana na watu wenye akili ndogo. Tusisubiri mpaka tutendwe sisi ndiyo tukemee maovu. Je angekuwa ameniua kama alivyomuua Ben Saanane, ni nani angeandika hapa leo?
 
Huo ni mtazamo finyu sana na watu wenye akili ndogo. Tusisubiri mpaka tutendwe sisi ndiyo tukemee maovu. Je angekuwa ameniua kama alivyomuua Ben Saanane, ni nani angeandika hapa leo?
Kuna kukemea maovu ya mtu/kuchukia maovu yake na kuna kumchukia mtu.

Kuna tofauti mkuu hapo, viongozi waliyopita kabla ya Magufuli hawakuwa malaika nao wana maovu na watu walikemea ila tofauti hapa ni kwamba kuna watu mmejenga chuki kwa Magufuli na wakati mwingi mmekuwa mkionyesha hiyo chuki kuliko kukemea mabaya ya Magufuli.
 
Sasa kama hai viongozi waliomtangulia Magufuli walikuwa na maovu, basi uyaandike wewe UHURU JR. Sisi tumejipangia kuyaandika ya huyu mtu wenu mliyekuwa mnamuabudu kama mungu wenu
 
Sasa kama hai viongozi waliomtangulia Magufuli walikuwa na maovu, basi uyaandike wewe UHURU JR. Sisi tumejipangia kuyaandika ya huyu mtu wenu mliyekuwa mnamuabudu kama mungu wenu
Na mimi sizungumzii maovu ya hao viongozi bali hiyo chuki kwa kiongozi mmoja tu, ndio maana umeulizwa Magufuli alikufanya nini chenye kufanya uwe na chuki?
 
Mwendakuzimu aliwaruhusu kufanya Ujangili na kujipatia Fedha Kwa Uporaji wa Mali za Raia
Sasa hivi wanalazimika kufanya kazi Yao ya Kulinda Raia na Mali zao.
 
Mbona jibu unalouliza mleta mada, lipo kwenye post yako ya kwanza. Kwenye mistari humo kati. Kuongezea; Hitler alipendwa sana na askari wake na ndio walimuwezesha kutawala
 
Ha ha ha ha,mkuu Magufuli alikuwa mtu makini saana,itatuchukua miaka mingi sana kumpata mtu kama huyo tena.....miaka mingi sana nasema
Muuaji na mtekaji pia mfiraji. Jpm alivyokufa tu nilikunywa cret nzima ya bia
 
Baba Jesca
Mzilankende , Ngosha Chuma, Jiwe



Hii
 
Askari walipewa haki na kuheshimiana sana kiutarratibu sasa labda umwinyi umerudi speculations tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…