Kwa nini Wanajeshi, polisi, magereza na Usalama wa Taifa bado wanamlilia Rais Magufuli?

Wanao mlilia walikuwa sehemu ya akina Sabaya na makonda ...majizi yoote ndo yanamlilia bila kujali yalikuwa TISS au JWTZ
 
Hiyo takataka imezikwa Chato inaoza huko, hakuna mtu mwenye akili anataka, labda nyinyi wajinga tu.
Hata JMP akitukanwa kwa namna gani yoyote ile hawezi kujibu Wala kujitetea kwa sababu alishalala milele. Muacheni mzee wa watu apumzike kwa amani. Mtoa hukumu n Mungu na si mwanadamu awaye yote.
 
Hata JMP akitukanwa kwa namna gani yoyote ile hawezi kujibu Wala kujitetea kwa sababu alishalala milele. Muacheni mzee wa watu apumzike kwa amani. Mtoa hukumu n Mungu na si mwanadamu awaye yote.
Na Mungu lazima amuadhibu sana kwa kuwaua akina Ben Saanane, Azory na Lwajabe.

Na ukome kusema apumzike kwa amani, hapumziki huyu pimbi kamwe ni moto tu
 
Kwa sababu aliwaruhusu wale rushwa akaiita hela ya kupiga viatu brashi.
 
Hao askari watakuwa ni wapumbavu sana kama kweli wapo kuweza kumlilia mtu aliyekufa na kuzikwa miaka 2 iliyopita. Kimsingi ni majuha
kwa nn unasema majuha wakati kuna wengine waligomea ruzuku kwa sababu hawakuutambua uchaguzi wa 2020 lkn leo wamechukua.hapo juha ni nani!
 
kwa nn unasema majuha wakati kuna wengine waligomea ruzuku kwa sababu hawakuutambua uchaguzi wa 2020 lkn leo wamechukua.hapo juha ni nani!
Juha ni yule shetani Magufuli aliyevuruga uchaguzi na kuiba kura!
 
kwa nn unasema majuha wakati kuna wengine waligomea ruzuku kwa sababu hawakuutambua uchaguzi wa 2020 lkn leo wamechukua.hapo juha ni nani!
Ruzuku ni fedha zitokanazo na kodi ya Watanzania. Hakuna uhusiano kati ya wizi wa kura za 2020 na kupokea ruzuku. Walisusia mwanzoni ili iwe kigezo cha kupeleka ujumbe kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki.

Wameanza kupokea kama sehemu ya maridhiano. Maridhiano ni 2-way traffic au ni give and take. Hakuna principle ya winner takes all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…