AiseeeeNyumban wife anakuloga,kazin wafanyakazi wenzako wanakuloga ili ufukuzwe kazi wachukuwe nafas yako, mwenye baa kakuloga ili kila siku ukanunue bia.
Lazima uchanganyikiwe.
Dah kipindi niko kadogo dogo kuna rafiki zangu walikuja kunishitua oyaah... kuna crazy maeneo ya bodaboda yuko naked ni mwanamke...Ni kweli wanaume ni wengi kuliko wanawake, wanaume wanatembea mjegeje umening'inia na watu wanaona kawaida. Kuona kichaa wa kike anatembea uchi wa mnyama mbunye inaonekana ni nadra sana, sijui ni kwa nini vichaa wengi ni wanaume kulinganisha na wanawake
Weee! carasco kwenye ubora wako, naona totozi imekuchanganya unasinzia kwenye dodo lake..Acha tuchanganyikiwe
View attachment 3692552
BangiWakuu...
Mbona wanaume ndio wengi waliochanyanyikiwa huku mtaani, yaani wale ambao hawajielewi....
Hadi wanafikia hatua ya kutembea naked.
Ukicompare na wanawake!
Vita ya mwanaume na maisha unafanya mchezo nini ..Wakuu...
Mbona wanaume ndio wengi waliochanyanyikiwa huku mtaani, yaani wale ambao hawajielewi....
Hadi wanafikia hatua ya kutembea naked.
Ukicompare na wanawake!