Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
😂😂😂
Shikamoo na wwshikamoo mallerina
Madawa ya kulevya, bangi sana, Kimpumu n.k. %> ni Me.Wakuu...
Mbona wanaume ndio wengi waliochanyanyikiwa huku mtaani, yaani wale ambao hawajielewi....
Hadi wanafikia hatua ya kutembea naked.
Ukicompare na wanawake!
unatafta sabab nzur usioe ety?Duh nahisi wengi wanaochanganyikiwa ni waliooa
Ulifanikiwa kuiona punani?Dah kipindi niko kadogo dogo kuna rafiki zangu walikuja kunishitua oyaah... kuna crazy maeneo ya bodaboda yuko naked ni mwanamke...
Nilitoka mbiombio kwenda kushuhudia....
Bado kamchepuko nako kanakuloga 🤣Nyumban wife anakuloga,
kazin wafanyakazi wenzako wanakuloga ili ufukuzwe kazi wachukuwe nafas yako,
mwenye baa kakuloga ili kila siku ukanunue bia
Ndugu zako wanakuloga ili uwatumie pesa kila mwisho wa mwezi...
Kijijini kwenu wanakuloga ili husifanikiwe...
Lazima uchanganyikiwe.