binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Yakija mambo ya wanawake uweke hii comment pia, Last time i checked ninyi ndio huwa wasemaji wetu humu 😀Wakati mwingine inakuhitaji kuwa mwanamume ili kuyajua ya kiume kwani mambo yanabebana na uanamume wenyewe kama asili....